Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Huyuu jamaa anaitwa Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku,alisoma Mzumbe University, kwa waliosoma Mzumbe kipindi chake hawezi kumshangaa,ndio tabia zake hizo!

Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
 
Kaka siyo natunga huyoo kasoma Mzumbe,na alikua maarufu kwa kukata kiu,waliosoma Mzumbe wananielewa,mwaka wa tatu alipata matatizo nadhani hakugraduate!

Alikua na msala fulani wa utapeli hadi kesi ikaenda mahakamani kati ya Mzumbe University na yeye!
Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
 
Jamaa ana kiherehere kweli wala sio uwongo.
Kuna kipindi chao cha mahusiano kama sikosei jina kilikua kinarushwa clouds kipindi flani sijui bado kipo, kama maigizo mafupi fupi. Ndio nilianza kumfahamu hapo
 
Mkuu wala tusibishane, tafuta hiyo hapo interview youtube, anaelezea historia yake, na anasema kilichomleta Dar ni elimu, na kasomea UD, kaeleza mkapa yeye ni mtoto wa ngapi, sijui wako wangapi nk, so tafuta hiyo hapo then ulete mrejesho, la sivyo kama kasoma mzumbe nayeye kasema kasoma UD atakua tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190120-162646.jpeg
    57.2 KB · Views: 34
Kama Mkuu wala mi sibishani na unachokisema!inawezekana hakutaka kuweka wazi labda kutokana na matukio aliyofanya Mzumbe!

Ila amesoma Mzumbe hadi third year ila hakugraduate kutokana na mambo ya Utapeli na hadi kesi ilikua Mahakamani kuna first year aliwatapeli!

Amefanya matukio mengi sana Mzumbe Mkuu!
 
Wote mnaweza mkawa sahihi maana yeye anasema amesoma UD na wewe unasema Mzumbe hivyo huenda kwa kuwa Mzumbe hakumaliza ndio maana hasemi amesoma mzumbe na badala yake anasema UD
 
Huyuu jamaa anaitwa Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku,alisoma Mzumbe University, kwa waliosoma Mzumbe kipindi chake hawezi kumshangaa,ndio tabia zake hizo!
Sasa kwa vitabia hivi kugeuka bwabwa mbona sio kazi. Huwa inanishangaza mno, mwanaume (ambaye kidesturi na kimaandiko ana jukumu la kutafuta) anapata wapi muda wa kujadili maisha ya wengine (hadi wanawake) na bado anapata muda wa kufanya kazi kama hatunzwi huyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila maisha ya bongo bhana...
Mwaka juzi nilisikia jamaa kaacha mke huko kigoma na kazaa kabisa ila baada ya kuanza kuigiza kakutana na watoto wakali yule wakigoma akapiga chini ...
Kwa vile sifuatilii sana sikuumiza kichwa, leo naona anajadiliwa tena humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nakumbuka nimemwona sana UDSM wakati nasoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa na ww unaamini hujui kua wanadanganyaga kwenye interview??

Sorry we ni wa nyumbani nini?
 
Funguka basi hayo matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…