Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Ila maisha ya bongo bhana...
Mwaka juzi nilisikia jamaa kaacha mke huko kigoma na kazaa kabisa ila baada ya kuanza kuigiza kakutana na watoto wakali yule wakigoma akapiga chini ...
Kwa vile sifuatilii sana sikuumiza kichwa, leo naona anajadiliwa tena humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Sasa ni mshauri wa mahusiano
 
Kama hajasema hakupita mzumbe takenthat as fake ,sisi tunamjua tumesoma nae japo nilimuacha mwaka mmoja au miwli ,alikua maarufu kwa uinga ,mzumbe kulikua na kitu kinaitwa kata kiu na kulikua na studio za kuongelea ikifatiwa na panch
Mkuu wala tusibishane, tafuta hiyo hapo interview youtube, anaelezea historia yake, na anasema kilichomleta Dar ni elimu, na kasomea UD, kaeleza mkapa yeye ni mtoto wa ngapi, sijui wako wangapi nk, so tafuta hiyo hapo then ulete mrejesho, la sivyo kama kasoma mzumbe nayeye kasema kasoma UD atakua tapeliView attachment 1000280

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni cha hajabu hapo, ni mwanamme wa Dar huyo. Hapa ataropoka kisha anaenda mtaa wa pili kuvaa gagulo na kupakatwa.
 
Aliniacha hoi aliposema diamond akimuoa tanasha yeye atakunya Kuanzia sijui wapi hadi kariakoo.
Olio? Huyo Mwijaku ana kihere here hatari sana sijawai ona hahaha
 
Huyu mshkaji tulikuwa tunakunywa nae sana kb pub tegeta alikuwa anamgonga kaunta flani pale siku hz naona kaondoka. Yule kaunta akifunga anaenda nae kibo then anaenda kumgonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa ulijuaje kama uyo kaunta akifunga anaenda kibo ķwa jamaa kumgonga? Au uliküa unamfuatilia nyuma nyuma?
 
Ni Nani huyu?! Mbona yuko local hivi. Mwanaume mzima kukaa kufuatilia maisha ya watu inatia shaka kidogo kama kichwani zipo sawa
 
Mkuu acha kutunga, Kuna interview yake alikua anahojiwa na mdada, amesema amesoma UDSM (PA) sasa wewe unasema mzumbe, sijiu tumuamini wewe au yeye
Huyo sidhani hata kama shule ameenda!? Nimeangalia clip moja hapo juu, He talks like a layman hivi
 
Back
Top Bottom