Naona kila mmoja anashangaa matokeo ya shule fulani kuwa mazuri sana wakilinganisha na shule zingine.
Shule ambayo wanafunzi wanafundishwa na waalimu (na kusimamiwa na Patrons or Matrons) ambao walitia Division one kali Form IV na VI. Wakaacha kwenda kusoma Engineering, Pharmacy, Computer Science, Account, Architecture n.k wakaenda kusoma Education (Si kwa kuwa hawana vigezo vya kusoma kozi nyingine) ili wawe waalimu bora.
Waalimu (add Patrons or Matrons hereafter) ambao wanaipenda kazi yao na wanajitambua kimaadili. Waalimu ambao wapo fiti both Mentally and Spiritually. Walioweka mbele matamanio ya wanafunzi kufanya vizuri kuliko masilahi ya Pesa.
Sidhani kama mtu unaweza kushangaa wanafunzi waliofundishwa na waalimu wa aina hii wakipata Division I na II darasa zima.
Ikiwa sisi watu wetu wenye matokeo mazuri wameenda kusoma Engineering, Computer Science, Accounting, Finance, Environmetal Science n.k halafu Education wakaachiwa walioachiwa, Unategemea matokeo ya Aina gani?
My Dears, Kila tatizo kwenye Jamii zetu tunalisababisha sisi na suluhisho pia lipo kwetu sisi. Nimemaliza..