Unashangaa matokeo?

Unashangaa matokeo?

MAGANJA

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
8
Reaction score
2
Naona kila mmoja anashangaa matokeo ya shule fulani kuwa mazuri sana wakilinganisha na shule zingine.

Shule ambayo wanafunzi wanafundishwa na waalimu (na kusimamiwa na Patrons or Matrons) ambao walitia Division one kali Form IV na VI. Wakaacha kwenda kusoma Engineering, Pharmacy, Computer Science, Account, Architecture n.k wakaenda kusoma Education (Si kwa kuwa hawana vigezo vya kusoma kozi nyingine) ili wawe waalimu bora.

Waalimu (add Patrons or Matrons hereafter) ambao wanaipenda kazi yao na wanajitambua kimaadili. Waalimu ambao wapo fiti both Mentally and Spiritually. Walioweka mbele matamanio ya wanafunzi kufanya vizuri kuliko masilahi ya Pesa.

Sidhani kama mtu unaweza kushangaa wanafunzi waliofundishwa na waalimu wa aina hii wakipata Division I na II darasa zima.

Ikiwa sisi watu wetu wenye matokeo mazuri wameenda kusoma Engineering, Computer Science, Accounting, Finance, Environmetal Science n.k halafu Education wakaachiwa walioachiwa, Unategemea matokeo ya Aina gani?

My Dears, Kila tatizo kwenye Jamii zetu tunalisababisha sisi na suluhisho pia lipo kwetu sisi. Nimemaliza..
 
Attachments

  • zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.jpg
    zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.jpg
    4.6 KB · Views: 125
hapo labda mwalimu apewe starting salary mil 1.500 yan nigechukua bsc ed DUCE fastaaaa!
 
Kuwe na equal treatment ya profession! Isionekane profession hii ni better kuliko ile..
 
Naona kila mmoja anashangaa hahahahah duh matokeo ya shule fulani kuwa mazuri sana wakilinganisha na shule zingine.

Shule ambayo wanafunzi wanafundishwa na waalimu (na kusimamiwa na Patrons or Matrons) ambao walitia Division one kali Form IV na VI. Wakaacha kwenda kusoma Engineering, Pharmacy, Computer Science, Account, Architecture n.k wakaenda kusoma Education (Si kwa kuwa hawana vigezo vya kusoma kozi nyingine) ili wawe waalimu bora.

Waalimu (add Patrons or Matrons hereafter) ambao wanaipenda kazi yao na wanajitambua kimaadili. Waalimu ambao wapo fiti both Mentally and Spiritually. Walioweka mbele matamanio ya wanafunzi kufanya vizuri kuliko masilahi ya Pesa.

Sidhani kama mtu unaweza kushangaa wanafunzi waliofundishwa na waalimu wa aina hii wakipata Division I na II darasa zima.

Ikiwa sisi watu wetu wenye matokeo mazuri wameenda kusoma Engineering, Computer Science, Accounting, Finance, Environmetal Science n.k halafu Education wakaachiwa walioachiwa, Unategemea matokeo ya Aina gani?

My Dears, Kila tatizo kwenye Jamii zetu tunalisababisha sisi na suluhisho pia lipo kwetu sisi. Nimemaliza..
hahahahah best students in science wanachukua engineering,medicine,best students in commercial subjects wanachukua accounting,n.k, best students in arts subjects wanachukua ll,b,philosophy
 
Kuwe na equal treatment ya profession! Isionekane profession hii ni better kuliko ile..
In fact if you think about it profession ya ualimu is probably the best and it should be treated as such.
 
Waalimu wanatakiwa kila sehemu. Yaani akifaulu science vizuri akafundishe masomo ya sayansi ndiyo atakuwa mwalimu mzuri. Unadhani mtu aliyepata hesabu D ya makusudi anaweza kutua A ya uhakika?
 
Back
Top Bottom