Unashauri Assad agombee urais kupitia chama gani?

Unashauri Assad agombee urais kupitia chama gani?

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Tumshauri Assad ambae kwa sasa amejipambanua kama jabali jipya la siasa za Tanzania. Assad kwa muda mrefu alikuwa amejifunika kwa mwamvuli wa “kufanya kazi kiweledi “ na alifanikiwa kutuaminisha ilo.

Tumpe ushauri agombee urais 2025 kwa chama mnachoona kitamfaa.

Twende kazi.
 
Duh mmeshaanza kumtamani, anyway hata akifika huko juu system itambadilisha hata kuwa huyu Assad wa sasa hivi.
 
Labda urais wa jopo la Wahaziri wa MMU ila utumishi wa umma asahau.
 
Duh mmeshaanza kumtamani, anyway hata akifika huko juu system itambadilisha hata kuwa huyu Assad wa sasa hivi.
Jamaa ni mpiga siasa mzuri alikuwa anatuhadaa anafanya kazi professional ways.
 
So inawezekana jamaa ni wale siasa kali?
Mkikosa hoja mnatafuta pa kukimbilia dini. Mnadhani wenye akili watachotwa na huo ujanja janja wenu?
 
Back
Top Bottom