Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
eeewaaaa!!!si hata mm ni mshkaji tu? si nilikujengea banda la kuku?mandojo na domokaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeewaaaa!!!si hata mm ni mshkaji tu? si nilikujengea banda la kuku?mandojo na domokaya
eeewaaaa!!!si hata mm ni mshkaji tu? si ntakujengea nyumba yenu??
Tehe tehe!tobaaaaaaaaaaaa - mi sikaki bana PJ atajua!
So babu unamaanisha mwanamke hawezi kutoa ushauri Mbaya kwa mumewe?
Kuhusu ushauri inategemea ntu na ntu.Awe mwanaume au mwanamke anaweza kuwa na ushauri mbaya au mzuri.Suala la ushauri mara nyingi pia huwa ni karama fulani kutoka kwa Mungu.Kuna watu wameumbwa na hekima na wengine ni aibu.
Cha msingi wewe mwenyewe uwe unachuja lipi jema au baya.Na as far as i know wanawake wengi wamepewa hekima hivyo ni watoa ushauri wazuri sana.
note that;
Behind every succesfull Man there is a Woman.
Ushauri wa mke huwa ni sumu, Ila ule utakao kwa nyumba ndogo ni maridhawa!
😕😕😕
Are we together buddy?