Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa?
Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo;
Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua
Spa au Massage date: Mnaweza kwenda kupata massage pamoja na mpenzi wako siku ya leo
Ila hii haihusu mimi, shemeji yenu kakausha toka asubuhi. Na usisahau kumtumia ka ujumbe kuwa unampenda bado
Mimi mpka sasa hivi sijapata mualiko wa chochote wala sijapokea chochote, wewe je?
Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo;
Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua
Games au movie Night: Kama hamna hela unaweza kuchill nyumbani na huyo muhalifu mwenzio mkacheza hata karata, unaweza kupamba nyumba pia kwa maua au taa zenye mwanga mdogo na Mishumaa na kuangalia filamu pamoja
Dinner date: Mnaweza kupata chakula cha kula usiku kwa pamoja
Spa au Massage date: Mnaweza kwenda kupata massage pamoja na mpenzi wako siku ya leo
Mimi mpka sasa hivi sijapata mualiko wa chochote wala sijapokea chochote, wewe je?