Unashituka usingizini unakuta mkeo anakumulika na Torch ile sehemu utamfanya nini

Unashituka usingizini unakuta mkeo anakumulika na Torch ile sehemu utamfanya nini

Unamuuliza unatafuta Nini.???

Anakujibu "naona sisimizi wengi na siafu kitandani nikahisi wanatafuta shimo lao ndio nilikua nawaangalizia"😲😲😲😲😲😲
 
Back
Top Bottom