Ila Komba anajua kuimba...
Ngoja niipakue..Haina muda mrefu sana
Safi sana mzee, jamaa wako vizuri sana, wanautendea haki muzikiSio Hip Hop yao...hadi Gqom , Amapiano, house...
Hiyo ilikuwa ni harusi yake kabisa.
Sema mimi wananikera kina Mondi wnatoka Bongo wanenda kwao kushoot video zinazon'gaa za gharama wakati zao kawaida tu.Safi sana mzee, jamaa wako vizuri sana, wanautendea haki muziki
Ok, kuhusu hilo sikuwa nalifahamu, thanks
Ungekosekana kwenye uzi huu, ningeandamana [emoji2]Billie Eilish - Everthing i wanted
Ila Komba anajua kuimba...
Kuna wimbo mmoja anaimba kilugha sijui hata lugha gani ulitoka 1999 nafikiri baada ya kifo cha Baba wa taifa.
Utupie basi..
Kapungu waiyera iyera waiyera....napakumbuka hapo tu.
Hahaha nakosekanaje sasa kasmartUngekosekana kwenye uzi huu, ningeandamana [emoji2]
Ahsante asee
This lady yuko njema sanaSikilizeni..
Dolly Parton _ Love is strange
Sikilizeni..
Dolly Parton _ Love is strange
Thanks
Hahahaaa nami napapenda sana asee...Sijawahi kuchoka kusikiliza huo wimbo long time. Kale kasauti Dolly anamwuliza How do you call your lover boy I simply say baby oohh baby
Sent using Jamii Forums mobile app