Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Safi sana mzee, jamaa wako vizuri sana, wanautendea haki muziki

Ok, kuhusu hilo sikuwa nalifahamu, thanks
Sema mimi wananikera kina Mondi wnatoka Bongo wanenda kwao kushoot video zinazon'gaa za gharama wakati zao kawaida tu.

Na muziki wao ni tofauti na wetu wao hawasikilizi kama sisi beat zao zimeshiba.
 
Nick Jonas - Jealous remix ft Tinashe

Mshikaj hili song alilitendea haki sana, sema toka amuweke ndani Pryaka.. Music kama kautelekeza vile..ila ni muimbaji mzuri sana
 
Back
Top Bottom