Poaa,mimi kuna mtu ndo alinisaidia ilikuwa inanizingua piaaMambo Shiro.. Nisaidie, umefanyaje ku sign up Spotify? Mm nimefanikiwa ku install ila kila nikijarbu kusign up inazingua na hapo tayali natumia vpn, nimechange location lakin wapi
Ok poa shiro!!Poaa,mimi kuna mtu ndo alinisaidia ilikuwa inanizingua piaa