ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Poaa,mimi kuna mtu ndo alinisaidia ilikuwa inanizingua piaaMambo Shiro.. Nisaidie, umefanyaje ku sign up Spotify? Mm nimefanikiwa ku install ila kila nikijarbu kusign up inazingua na hapo tayali natumia vpn, nimechange location lakin wapi