Wazee wa Music.
Kuna wimbo nautafuta huo wimbo sikumbuki jina waimbaji ni Mwanamke na Mwanaume vijana tu wanaimba kuhusu safari ya maisha walipotoka mpaka hio high level waliyo fikia pia walipataga mtoto ambae alikua ni premature. Ni nyimbo nzuri Sana I think ni R&B/Soul, Of course ni ya kizungu sio mpya it's arnd 2020. Kwa description hio sijui naweza kueleweka na wimbo ukafahamika ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.