Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

[emoji444]Baila-Diamond Platnumz [emoji444]

Utamu wa big g ni kutafuna
Usimeze uroda
Ongeza tu bidii kunikuna
Sio kuniroga
Kunikomba zaidi
Pika nguna nitaleta mboga
Unipe na kabibi kwetu suna
Nishushie na soda

Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha acha niplay khethile khethile.

Kuna track kaimba na rick ross mbovu saana ya juzi kati tu.
Ha ha wewe jamaa ni kama upo jirani yangu hapa,, hiyo Khethile nimetoka kuiplay ndio ikafata hyo Ngiyaz'fela

Hiyo na rick ross, siipat..sema jamaa anajua

Mkuu unafatilia sana SA hip hop sio
 
Ha ha wewe jamaa ni kama upo jirani yangu hapa,, hiyo Khethile nimetoka kuiplay ndio ikafata hyo Ngiyaz'fela

Hiyo na rick ross, siipat..sema jamaa anajua

Mkuu unafatilia sana SA hip hop sio
Hii ya kwezta ni mpya maana kitambo sijapakua nyimbo zake..
 
Screenshot_2020-01-04-16-24-54.png
 
Ha ha wewe jamaa ni kama upo jirani yangu hapa,, hiyo Khethile nimetoka kuiplay ndio ikafata hyo Ngiyaz'fela

Hiyo na rick ross, siipat..sema jamaa anajua

Mkuu unafatilia sana SA hip hop sio
Sio Hip Hop yao...hadi Gqom , Amapiano, house...

Hiyo ilikuwa ni harusi yake kabisa.
 
Back
Top Bottom