Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

kama ni mpenzi wa nyimbo zataratibu za zouk na rhumba....ongeza na nyimbo za huyu jamaa Ferre Gola(Le Padre)
Wewe mkuu nahisi kwenye upande wa burudani tunaenda sawa sana. Ferre ni mwanamuziki nnaemkubali pia hasa kwenye vibao kama kamasutra, insecticides, 100 kilos, 3em dought nk.
 
Wewe mkuu nahisi kwenye upande wa burudani tunaenda sawa sana. Ferre ni mwanamuziki nnaemkubali pia hasa kwenye vibao kama kamasutra, insecticides, 100 kilos, 3em dought nk.
huyu jamaa kanikosha sana kwenye Jugement,Fautif,MEA CULPA,COURT CIRCUIT,MA MEILLEURE CHEMISE,POISSON D_AVRIL,ROSSIGNOL,KINSHASA,POURQUOI TU M_AS FAIT CA,MATCH D'AMOUR,MOTEKI MBALA,APPRIVOISE,INONDATION,WUMELA,REALITE,NICKSON LYELA,PATIENCE,TAILLEUR,PORTE MONNAIE AVANT GOUT,INTERNATIONAL,PAKADJUMA,ManiX,PITO LUKAYA...........ukipata muda sikiliza vibao hivyo vyote hapo juu utakuja nishukuru

vipi KOFFI OLOMIDE kwako pia anapanda?
 
Koffi huwa simuelewi sana kwenye rhumba. Labda kwenye upande wa sebene
 
Koffi huwa simuelewi sana kwenye rhumba. Labda kwenye upande wa sebene
huyu ni mtaalaam wa SOUKOUS(AFRO ZOUK)................tafuta hii playlist kwanza
.pleure ley.....hii ilikuwa dedication song kwa mwanamuziki wa zaman wa congo Marehemu TABU LEY
.un dollar
.pygmalion
.alidor
.delta charlie
.mwana ina
.ninelle
.elegancee
.elixir
.jour de joie
.lovemycine
.molounge
.grand pretre mere
.ultimatum
.micko
.soupou
 
Yossou Ndour - Kirikou
Ubongo Kids - Hisabati
Ubongo kids - Sifuri ni nini.

Sijui nilikua natafuta nini nikaishia kula ngoma hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naupenda wa sifuri ni nini maana yake hakuna kitu
Namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri
Namba hasi ni pungufu zaidi ya hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia nyimbo za Koffi Olomide kutoka katika albamu lake la Affaire D' Etate
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naupenda wa sifuri ni nini maana yake hakuna kitu
Namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri
Namba hasi ni pungufu zaidi ya hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile part wanajibizana
Sifuri ni nini?
Hakuna kitu
Na namba hasi ni nini?
Hakuna kitu eh!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile part wanajibizana
Sifuri ni nini?
Hakuna kitu
Na namba hasi ni nini?
Hakuna kitu eh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda na zile nyimbo za irabu

a e i o u
Hizi Ni irabu katika maneno yetu
Hizi ni irabu zipo kwenye kitabu
a a a a a a anga anga
asali asali

e embe embe
e endesha endesha

i injini injini
Imba imba

O osha
Oga

U ubuyu
U ugali

Hizi ndizo irabu zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu ni mtaalaam wa SOUKOUS(AFRO ZOUK)................tafuta hii playlist kwanza
.pleure ley.....hii ilikuwa dedication song kwa mwanamuziki wa zaman wa congo Marehemu TABU LEY
.un dollar
.pygmalion
.alidor
.delta charlie
.mwana ina
.ninelle
.elegancee
.elixir
.jour de joie
.lovemycine
.molounge
.grand pretre mere
.ultimatum
.micko
Pamoja mkuu [emoji119]
 
Screenshot_20200624-184030_Samsung%20Music.jpeg
 
Back
Top Bottom