Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

IMG_20200703_200246.jpg
 
Nipo nacheka na waha wasaniii Dr.Mjusi & Profesa Kazi.

Nyimbo zao.
-Senema
-Kioo.
-Mwalimu.
-Kazi Maisha.
-Helena.
-Kasimama.
-Baba na Mama.
-Saa ya Mkononi.
-Africa Yetu..

Full vituko...

Mchele kwa kiingereza unaitwa "Rice"

Je Unga wa Sembe kwa kiingereza tutauitaje..?

Jawabu=Waziri Mkuu.

Mkataa pema..? =Kaona hakuna posho..

Dawa ya deni kumkimbia anaye kudai
 
Tutafika salama -- Beatrice mwaipaja
 
Back
Top Bottom