Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

RIP Mama SlimTano
20200815_163503.jpg
 
Haha kwa umri wake, lazima aseme hvyo, ni kizazi cha marap wenye marangi rangi kichwan na matatto mwili mzima
Walau nimekaa naye sana kipindi cha Corona akaanza kubadilisha taste,
Yani huko BillBoard na UK TOP-40 siku hizi kuna matakataka sana!
 
Swali langu ni kwenye kulipia
Una create free account. Halafu ku login unatumia vpn mara moja. Uwa wenyewe wana log out kila baada ya wiki 3, unawasha vpn tena una login unaendelea kupata vitu
 
Back
Top Bottom