Unasoma BW Archaeology ili uwe Nani?

Unasoma BW Archaeology ili uwe Nani?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wapi vijana bado wanasoma BA Archaeology ili waje kufanya kazi wapi?
 
Kuwa mpole mzee ..

Kuna nafasi nyingi sana Kwenye hiyo field hasa upande wa Conservation...

NCAA, TANAPA etc...

Wapo wanaopata na kufanikiwa katika kila course... Na wapo wanaochemka kwa maelfu pia kwenye kila course ..

Usikatishe watu tamaa
 
Back
Top Bottom