KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Mkuu hongera kuuliza swali la maana sana tena sana kwa sisi walevi wastaarabu,mimi niko hapa Hugo,nimeshakunywa mzinga mzima wa DRAMBUIUIE,nasubiri demu wangu kaenda kukojoa kama lisaa lizima,sijui inakuaje?nafikiri kanitoroka au vipi?,anyway kama kuna mademu wengine hapa HUGO,naomba wanitext na kunijia coz nataka company kwa bei yoyote au vipi?Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?
Cheeeeers