Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu kesha kwa kusali na kuomba kwa mungu maana upo kwa uweza wake,pombe haina maana kama yy,Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?
Cheeeeers
Namalizia vipaja vya digi digi baada ya kutwa nzima kuzunguka huku porini na kumkosa Faru John. Nimeamua nijipongeze ili kuukaribisha Mwaka MpyaIvi kaburi la faru john lilipatikana wakuu?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Namalizia vipaja vya digi digi baada ya kutwa nzima kuzunguka huku porini na kumkosa Faru John. Nimeamua nijipongeze ili kuukaribisha Mwaka Mpya
View attachment 452693
Wewe mwaka mpya utakukuta uko juu ya kiuno cha mwenzako
Nitunuku mamaMmmhhhhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo matema beach, nimekuja huku na wife, tutaupokea mwaka mpya huku huku.Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?
Cheeeeers
Acha kuomba kwa huyo mungu, jaribu kuomba kwa Mungu maana yeye ndio muweza.Hebu kesha kwa kusali na kuomba kwa mungu maana upo kwa uweza wake,pombe haina maana kama yy,
Upo lodge wewe
Corner bar ipi?Nipo corner baa karibuni wakuu tuukaribishe mwaka mpyaaa!
[emoji4] [emoji4]Upo lodge wewe
njoo tukaribishe mwakaUpo lodge wewe
Balimi yangu ya 6 hapa nasubiria huo mwaka