Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

M nmeamka vibaya cna hata hamu ya beer.....an jana dem ang kanletea magumash kanj nae kangonga....dah....wacha nilale 2
 
Kasinde niko nae hapa,amevaa lingerie, yaani ananipa mzuka mpaka nataka kuzimia huyu baby leo mambo yoote kayaanika wazi.

Waswahili bin wahenga walisema pombe si chai..... ndo matokeo yake haya....
cc: Smart911
 
Ningewaza kwamba, baada ya kukurudisha umetoka tena...

Kwako nimefika asilani.....sitorudi nyuma.
Kwako nimeweka nukta na kituo.
Niliyokuwa nayahitaji yote nimeyapata ambayo wengine walishindwa yatimiza.

Nakupenda sana Smart911 nimefunga mwaka nawe na naunza mwaka mpya nawe niko pamoja nawe kila mahali, niko nawe popote uendako.

Pamoja na mengi wasemayo wafitini masikio nimewazibia nakusikiliza wewe tuu.

Mpenz wangu wa moyoni nikupendae pendo la rohoni na pendo la kweli.

Wengi walishangaa nimepotea humu kwa siku kadhaa hapa nawafahamisha kuwa wewe ndo uliyenificha na katu sitohadaika.

Hadhira hii ya MMU itambue kuwa Nyani Ngabu aka James Jeddah ni historia, kurasa zao zilishafungwa aka zilipendwa na kwa Kasinde historia huwa haijirudii na hata kama inajirudia kwa Smart911 hakuna nafasi hiyo......

cc: Smart911
 
Hujambo mchumba[emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…