Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Heri ya mwaka mpya wapendwa,ikiwa jana ndo tuliopokea mwaka mpya najua watu wengi walipokea mwaka mpya wakiwa katika mazingira mbalimbali.Mimi binafsi nilipokea mwaka nikiwa nyumban pamoja na familia,je wewe uliupokea ukiwa katika mazingira gani na ukiwa na nani?tuambizane
 
Unajua akili ndogooz kushinda akili kubwa ni ngumu mazafantaazz u know?

Baada uende kuupokea mwaka church we unaupokea bar? Mazafantaaz walaahii nafwaaazzz uhahahaha -Le mutuz Nation
Pale unapoupokeA mwk church huku unatukqna hiv..sir god is watching u
 
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?


Cheeeeers

Nipo kwenye mkesha wa sala kanisani ili mwaka 2017 nipate baraka zaidi, afya njema, na kuomba destiny inyooke!! God is Great.
 
Nyumbani na familia , marafiki
Few beers, wine , BBQ, nice music.
Tulinunua fireworks kipindi Cha nyuma " guy fawkes" tukabakiza zingine ajili ya New Year's Eve.
Sababu hawauzi fireworks kipindi hiki.

Nilifurahia kwa kweli .
 
nimelala tangu mwaka jana ndio naamka
 
Hata uwe na mabestie, kama familia haipo karibu kumbe wala hujisikii furaha.. I was somehow lonely!!!
 
Mount meru hotel ilikuwa yechu sana
 
I see na Mimi leo nimekua mchaga, mimi, mume wangu watoto wangu leo wote tumekuja kwa mama mkwe kuuanza mwaka pamoja! Happy new year wana Jamii
Umefanya vizuri, watembeleeni wazazi wakati bado wapo.
 
Back
Top Bottom