Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Bichuka # Binadamu sio wazuri
Natanguliza shukrani.
 
Roga Roga katika maktaba yako nitapata nyimbo za bendi za Kitanzania..mfano Marquise..Tancut Almasi..vijana jazz nk..?
Kwa mfano wimbo Mpenzi Ruta..
Nitakuwa nakutumia kidogokidogo, anza na hizo za vijana
 

Attachments

Mkuu nipatie wimbo wa Pepe kale unaimbwa papa mobimba yeee
 
Naomba unipatie kibao kinachoitwa kesi ya kanga by ndala kasheba mkuu
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…