Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mwamba vp mbona umeukimbia uzi wako mwenyewe au ndo majukumu yamekuwa mengi mkuu.Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Mkuu Bakulutu na wewe umetokomea na kutususia uzi hivi hivi dah....