Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM
Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim?
Hili ndilo jibu.
Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya.
Hawa ndiyo waliokuwa wakimpa Maalim ushindi mmoja baada ya mwingine, mmoja baada ya mwingine, katika chaguzi zote sita za Urais wa Zanzibar alizoshiriki kuanzia uchaguzi wa 1995 hadi 2020.
Maalim kaacha historia ambayo si rahisi kwa kiongozi yeyote kuifikia.
Si leo wala kesho.