Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Mwalim wetu Sheikh Mohamed Said ,,.Rodrick...
Stori hii ya kuibiwa hiyo barua kama ulivyoeleza ndiyo historia mashuhuri.
Lakini kuna upande mwingine wa mkasa huu unaosema aliyefanya hayo ni mtu mwingine na baadhi ya watu huko Zanzibar wanamfahamu.
Huyu mtu alilipwa vyema na bado yu hai na kashika nafasi nyingi kubwa visiwani.
Hii barua Mzee Jumbe alirudishiwa kimiujiza akaikuta ofisini kwake nyumbani kwake Migombani.
Mzee Jumbe kanieleza haya na nilifika nyumbani kwake Zanzibar na nimeona hapo ilipowekwa hiyo barua.
Waliorudisha barua hii ni watu wasiojulikana.
Katika taazia niliyomwandikia Mzee Jumbe nimeeleza mkasa huu wa barua ambayo Mzee Jumbe kwa maskhara aliipa jina, "The Long Letter."
Hii ndiyo barua aliyoitumia kuandika kitabu chake, "The Partnership."
Tafadhali Hebu tupe kisa hiki kwa urefu tupate elim mpya Juu ya rais huyu Abood jumbe mwinyi ikawaje mpk akatolewa na kuwekwa kigamboni..
Ikikupendeza Hata kwa ishara utupe aloitoa hyo barua na Mzee Jumbe krj Maelezo yake amesemaje nn lilikuwa wazo lao ktk Muungano..
Shukran