Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hili liko wazi,LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM
Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim?
Hili ndilo jibu.
Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya.
Hawa ndiyo waliokuwa wakimpa Maalim ushindi mmoja baada ya mwingine, mmoja baada ya mwingine, katika chaguzi zote sita za Urais wa Zanzibar alizoshiriki kuanzia uchaguzi wa 1995 hadi 2020.
Maalim kaacha historia ambayo si rahisi kwa kiongozi yeyote kuifikia.
Si leo wala kesho.View attachment 1705663View attachment 1705665
Kuna mzee alisema kuna Kinjikitile, Nyerere na MaalimLEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM
Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim?
Hili ndilo jibu.
Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya.
Hawa ndiyo waliokuwa wakimpa Maalim ushindi mmoja baada ya mwingine, mmoja baada ya mwingine, katika chaguzi zote sita za Urais wa Zanzibar alizoshiriki kuanzia uchaguzi wa 1995 hadi 2020.
Maalim kaacha historia ambayo si rahisi kwa kiongozi yeyote kuifikia.
Si leo wala kesho.View attachment 1705663View attachment 1705665
LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM

ukwel huooSeif alipendwa sababu ya kukisimamia alichokuwa akikiamini. Falsafa ya maisha inasema hivi, "siku zote ukitaka kufanikiwa, ishi kwa taratibu na kanuni ulizojiwekea wewe mwenyewe, ila ukiamini ziko sahihi. Seif aliishi hivyo.
Moyo wa seif ulikuwa na tattoo ya Zanzibar. Sio Mtutu wa bunduki wala pesa, vyote havikuwahi kumshawishi aunge juhudi. Acha maalim apumzike. Watu aina ya Seif, wanazaliwa kwa nadra sana siku hizi kwenye hii dunia ya dhambi.
LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM
Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim?
Hili ndilo jibu.
Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya.
Hawa ndiyo waliokuwa wakimpa Maalim ushindi mmoja baada ya mwingine, mmoja baada ya mwingine, katika chaguzi zote sita za Urais wa Zanzibar alizoshiriki kuanzia uchaguzi wa 1995 hadi 2020.
Maalim kaacha historia ambayo si rahisi kwa kiongozi yeyote kuifikia.
Si leo wala kesho.View attachment 1705663View attachment 1705665
na hili ni funzo kwa tanganyika, Tundu lisu ni zao pekee baada ya baba wa taifaSeif alipendwa sababu ya kukisimamia alichokuwa akikiamini. Falsafa ya maisha inasema hivi, "siku zote ukitaka kufanikiwa, ishi kwa taratibu na kanuni ulizojiwekea wewe mwenyewe, ila ukiamini ziko sahihi. Seif aliishi hivyo.
Moyo wa seif ulikuwa na tattoo ya Zanzibar. Sio Mtutu wa bunduki wala pesa, vyote havikuwahi kumshawishi aunge juhudi. Acha maalim apumzike. Watu aina ya Seif, wanazaliwa kwa nadra sana siku hizi kwenye hii dunia ya dhambi.
Siyo tetesi ni kweli yeye ndiye aliyeiba nyaraka za jumbe juu ya serikali tatu pamoja na bendera, baada ya Jumbe kuondolewa aliteuliwa kuwa waziri kiongozi na baada ya mwinyi kuondoka yeye alihisi alistahili kuwa rais wa Zanzibar ila aliteuliwa Idrisa Abdul wakil ambaye ana historia ya kupata kura chache zaidi kwenye mfumo wa chama kimoja kwani wapemba wengi hawakumpigia kura na alikaa muhula mmoja tu hapo ndio figisu zilianza kwani wapemba wengi waliamini yeye alistahili kuwa rais wa Zanzibar wakati wahifidhina wa unguja.waligoma hawakutaka kutawaliwa.na.mpemba wakisema wanandamu ya.kiarabu ya OmanKuna tetesi zinasema kwamba Maalim alimchoma Marehemu Abdul Jumbe alipotaka kuitoa Zanzibar toka kwenye Muungano, ndio ikapelekea Jumbe kutolewa uanachama na urais wa Zanzibar.
Rodrick...Siyo tetesi ni kweli yeye ndiye aliyeiba nyaraka za jumbe juu ya serikali tatu pamoja na bendera, baada ya Jumbe kuondolewa aliteuliwa kuwa waziri kiongozi na baada ya mwinyi kuondoka yeye alihisi alistahili kuwa rais wa Zanzibar ila aliteuliwa Idrisa Abdul wakil ambaye ana historia ya kupata kura chache zaidi kwenye mfumo wa chama kimoja kwani wapemba wengi hawakumpigia kura na alikaa muhula mmoja tu hapo ndio figisu zilianza kwani wapemba wengi waliamini yeye alistahili kuwa rais wa Zanzibar wakati wahifidhina wa unguja.waligoma hawakutaka kutawaliwa.na.mpemba wakisema wanandamu ya.kiarabu ya Oman
Angalia picha:Rodrick...
Stori hii ya kuibiwa hiyo barua kama ulivyoeleza ndiyo historia mashuhuri.
Lakini kuna upande mwingine wa mkasa huu unaosema aliyefanya hayo ni mtu mwingine na baadhi ya watu huko Zanzibar wanamfahamu.
Huyu mtu alilipwa vyema na bado yu hai na kashika nafasi nyingi kubwa visiwani.
Hii barua Mzee Jumbe alirudishiwa kimiujiza akaikuta ofisini kwake nyumbani kwake Migombani.
Mzee Jumbe kanieleza haya na nilifika nyumbani kwake Zanzibar na nimeona hapo ilipowekwa hiyo barua.
Waliorudisha barua hii ni watu wasiojulikana.
Katika taazia niliyomwandikia Mzee Jumbe nimeeleza mkasa huu wa barua ambayo Mzee Jumbe kwa maskhara aliipa jina, "The Long Letter."
Ingia hapa kwa taazia ya Mzee Jumbe:
TAAZIA: ABOUD JUMBE MWINYI 1920 - 2016
TAAZIA ABOUD JUMBE 1920 - 2016 Mzee Aboud Jumbe na Mwandishi George Githii alikuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Nation. Githii ...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Hii ndiyo barua aliyoitumia kuandika kitabu chake, "The Partnership."
Rodrick...
Stori hii ya kuibiwa hiyo barua kama ulivyoeleza ndiyo historia mashuhuri.
Hii ndiyo barua aliyoitumia kuandika kitabu chake, "The Partnership."
Biti...Umetufungua macho Wallahi.
Inshallah siku moja ututajie jina la huyo mtu.