Matako Yao woteeeeeee wanao waza ivyoooNilichokiona haraka baada ya Lissu kuambiwa anakesi ya kujibu ni utafutwaji wa muunganoko wa matukio ya tarehe 29/10/2025 na KAULI ya no reform na no election dhen aambiwe yeye ndo alisababisha watu waingie mtaani.
Hoja itakuja yeye sawa alishawishi je hao walioandamana walistailo walichopata? Walistailo kuwa? Je walizikwa wapi?
Tunako elekea ni pazuri sana kila mtu akae mkoa wa kula kula.