Unataka ku unlock 3g huawei modem?? Gonga hapa! Bure wana jf

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
614
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni. Halafu Ingiza laini halali ya modem, connect kwenye internet.Then Doubleclick hii software, kuna immei namba itatokea kwenye box juu kushoto, ifute hiyo then ingiza imei namba ya modem yako. Then minya calculate. Then kuna namba zitatokea kwenye box juu kulia named UNLOCK. Zikopi hizo namba. Then disconnect modem na ingiza laini nyingine yoyote, then itademand unlock code, ingiza hizo namba ulizozichukua kwenya unlock box, halafu minya ok. Hapo utakuwa huru kutumia modem yako kwa laini yoyote ile yenye 3G internet.

Download here: Universal MasterCode.zip
 
then itademand unlock code, ingiza hizo namba ulizozichukua kwenya unlock box, halafu minya ok. Hapo utakuwa huru kutumia modem yako kwa laini yoyote ile yenye 3g internet.
sioni hiyo sehemu ya unlock au inatokea baada ya muda gani?
 
hii inakubali kwa zile moderm za zantel?
 
Huawei 3G modem yoyote ile inakubali.
 
Dah, asante sana but it is too late, ile simu hata sikumbuki niliipotezea wapi. Ngoja nitaenda itafuta home leo
 
sioni hiyo sehemu ya unlock au inatokea baada ya muda gani?

Ukidoubleclick hiyo soft ware, itatokea box, ambayo ndani yake kuna vibox vingine ambavyo ni vyeusi, kimoja kina namba, futa hiyo namba andika namba ya modem yako, halafu minya calculate. Namba zitatokea katika vibox vingine, copy namba iliyoandikwa kwenye kibox cha UNLOCK. Disconnect internet, toa modem kisha toa laini na uweke laini nyingine tofauti na laini maalaum kwa ajili ya hiyo modem. Kama unatumia modem ya zain basi weka laini ya voda, kisha chomeka modem, subiri. Utaona box inahitaji uweke code za ku unlock. Weka hizo code ulizo copy, kisha click ok. They you are ready to use
 
Nimeamini JF ni kiboko itabdidi ije kampuni ambayo itakuwa inauza mdoem ambazo ni free kutumia kwa mitandano yote.
Ivi zile za voda nazo ni huwaii?
 
haswaaa ni huawei
 
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni. Halafu Ingiza laini halali ya modem, connect kwenye internet.Then Doubleclick hii software, kuna immei namba itatokea kwenye box juu kushoto, ifute hiyo then ingiza imei namba ya modem yako. Then minya calculate. Then kuna namba zitatokea kwenye box juu kulia named UNLOCK. Zikopi hizo namba. Then disconnect modem na ingiza laini nyingine yoyote, then itademand unlock code, ingiza hizo namba ulizozichukua kwenya unlock box, halafu minya ok. Hapo utakuwa huru kutumia modem yako kwa laini yoyote ile yenye 3G internet.

Download here: Universal MasterCode.zip

Mimi nina tatizo la ku-unlock simu yangu ya Motorolla V-8, unaweza kunisaidia au wakuu kuna yeyote anayeweza kunisaidia?
 
What will happen to Zantel Modem? They are using Huawei Modem but huwa hazitumii lain (simcard)? Will it means that after this operation you can insert the Zain or voda SIM card and it will work?

Please clarify.........
 
Is this BREAKING NEWS?...KAMA NDIVYO BASI MIMI SIJUI maana ya B/NEWS!
 
Na mimi pia natumi zantel hawai modem 3g,je inawezekana? Je,hiyo soft ware inaitwaje na unadown load wapi? Nisaidie.
 
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni. Halafu Ingiza laini halali ya modem, connect kwenye internet.Then Doubleclick hii software, kuna immei namba itatokea kwenye box juu kushoto, ifute hiyo then ingiza imei namba ya modem yako. Then minya calculate. Then kuna namba zitatokea kwenye box juu kulia named UNLOCK. Zikopi hizo namba. Then disconnect modem na ingiza laini nyingine yoyote, then itademand unlock code, ingiza hizo namba ulizozichukua kwenya unlock box, halafu minya ok. Hapo utakuwa huru kutumia modem yako kwa laini yoyote ile yenye 3G internet.

Download here: Universal MasterCode.zip

Ahsante sana Mkuu. Nime-download hiyo software. Lakini nimeshindwa kuchukua IMEI ya modem yangu. How do I do it? Pls help.
 
Hasante muga naomba kuhuliza imei number ndio modem number au ni kitugani?
 
Fungua modem yako, utakuta namba imeandikwa imei namba, ni namba ndefu kama za vocha za simu. Haina herufi yoyote, ni namba tupu.
 
Ahasnte analysti, lakini nimefungua modem bila kuona imei number!
 
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni. Halafu Ingiza laini halali ya modem, connect kwenye internet.Then Doubleclick hii software, kuna immei namba itatokea kwenye box juu kushoto, ifute hiyo then ingiza imei namba ya modem yako. Then minya calculate. Then kuna namba zitatokea kwenye box juu kulia named UNLOCK. Zikopi hizo namba. Then disconnect modem na ingiza laini nyingine yoyote, then itademand unlock code, ingiza hizo namba ulizozichukua kwenya unlock box, halafu minya ok. Hapo utakuwa huru kutumia modem yako kwa laini yoyote ile yenye 3G internet.

Download here: Universal MasterCode.zip

The%20Salute.jpg
 
Back
Top Bottom