Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Hapo kwenye 35-40 ndio umeharibu...kwaheri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ndoto yangu;Naishi nayo kwenye ndoto!Hesabu hii ni kwa ujenzi wa Nyumba simple ya vyumba vitatu (kimoja master)
Ikiwa na upana wa mita 9.5X10.4
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... 3,130pc
mchanga ......... 16m3
saruji ............... 113 mifuko
kokoto ................. 9 m3
Nondo ................ 71pc
ringi (stirrups) ...... 594pc
binding (waya) ...... 10kg
misumari ............... 10kg
mbao (kukodi) ......... 67pc
mbao (kununua) ...... 25pc
maji ........................ ____________
Ufundi ...............................________
JUMLA ................ = Tsh. 7,817,800 (makadirio kwa dar)
Material yanahusisha ujenzi wa tofali zote, mikanda yote juu na chini na zege la kufunika baraza/veranda.
Gharama za maji na mchanga zinategemea sana sehemu unayojenga.
Gharama za nondo zinaweza kupungua kulingana na stability/uimara wa ardhi ya kiwanja.
KUPAUA
Bati (Gauge28 Alaf)... 42pc = Tsh. 1,344,000
misumari ............. ..20kg = Tsh. 60,000
misumari ya bati ..9pkt = Tsh. 63,000
mbao 2X2 ........ 65pc = Tsh. 195,000
mbao 2X4.... 72pc = Tsh. 426,000
kench waya ...5pc = Tsh. 10,000
Ufundi .... _______
JUMLA = Tsh. 2,994,000
Note: Ujenzi huu ni wa viwango vinavyokubalika na ni kwa hatua ya kuinua boma na kuezeka tu bila kuhusisha ‘finishing’. Nyumba hii inakua wazi upande wa nyuma, hivi hakuna gutter.
Pamoja na finishing yote kukamilika inakadiriwa kuwa kati ya 35-40mln
Finishing,Sijaelewa.
Hesabu za kwanza umeonyesha jumla ni 7M tuassume ni 8M na za pili umeonyesha 2M tuassume ni 3M. Ambayo jumla yake inakua 11M.
Kisha umesema ukijumlisha finishing inakua 35M mpaka 40M.
Nini kinafanya hesabu zilizosound simple kufikia 40M?
Tunatofautiana boss,Hv kwa sasa n style ipi kali ya kujenga nyumba kat ya nyumba za kawaida na za contemporary? Raman kali unauzaje? Nkiwa na milion 35 serious nahamia kwangu!!
🙏🏾ChiefAhsante sana Mkuu
Nalog off
Kwa kawaida nyumba za mtindo huo huwa na mitaro (gutters) ya kupokea maji kutoka kwenye bati, amabyo hujengwa kwa zege la nondo na then waterproofing materials. Hiyo maji mwagika nyuma tu kunakuwa wazi.Nyumba hii inakua wazi upande wa nyuma, hivi hakuna gutter.
hii unamaanisha nini?
Huo ndio uhalisia, nimeweka idadi ya material na gharama zake ili mtu apate picha kamili.Hapo kwenye 35-40 ndio umeharibu...kwaheri
Finnishing ndo kifo cha pesa kwenye ujenzi wa nyumba.Sijaelewa.
Hesabu za kwanza umeonyesha jumla ni 7M tuassume ni 8M na za pili umeonyesha 2M tuassume ni 3M. Ambayo jumla yake inakua 11M.
Kisha umesema ukijumlisha finishing inakua 35M mpaka 40M.
Nini kinafanya hesabu zilizosound simple kufikia 40M?
Ninauhakika na nilichokiandika boss.Kupau 2mil? Mimi fundi tu nilimpa 1.5...kupaua ilicost almost 11 mil
Hizo bati zina upana gani na urefu gani? Ndugu mtaalam.Hesabu hii ni kwa ujenzi wa Nyumba simple ya vyumba vitatu (kimoja master)
Ikiwa na upana wa mita 9.5X10.4
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... 3,130pc
mchanga ......... 16m3
saruji ............... 113 mifuko
kokoto ................. 9 m3
Nondo ................ 71pc
ringi (stirrups) ...... 594pc
binding (waya) ...... 10kg
misumari ............... 10kg
mbao (kukodi) ......... 67pc
mbao (kununua) ...... 25pc
maji ........................ ____________
Ufundi ...............................________
JUMLA ................ = Tsh. 7,817,800 (makadirio kwa dar)
Material yanahusisha ujenzi wa tofali zote, mikanda yote juu na chini na zege la kufunika baraza/veranda.
Gharama za maji na mchanga zinategemea sana sehemu unayojenga.
Gharama za nondo zinaweza kupungua kulingana na stability/uimara wa ardhi ya kiwanja.
KUPAUA
Bati (Gauge28 Alaf)... 42pc = Tsh. 1,344,000
misumari ............. ..20kg = Tsh. 60,000
misumari ya bati ..9pkt = Tsh. 63,000
mbao 2X2 ........ 65pc = Tsh. 195,000
mbao 2X4.... 72pc = Tsh. 426,000
kench waya ...5pc = Tsh. 10,000
Ufundi .... _______
JUMLA = Tsh. 2,994,000
Note: Ujenzi huu ni wa viwango vinavyokubalika na ni kwa hatua ya kuinua boma na kuezeka tu bila kuhusisha ‘finishing’. Nyumba hii inakua wazi upande wa nyuma, hivi hakuna gutter.
Pamoja na finishing yote kukamilika inakadiriwa kuwa kati ya 35-40mln
Zile za ft 10 (mita 0.9 kwa mita 3)Hizo bati zina upana gani na urefu gani? Ndugu mtaalam.
yaliyoolodheshwa
Usikariri.uliza, usikalili.
Umeanza Mkuu na vurugu zako..Usikariri.
Sio usikalili.
Una matatizo ya kuandika. Utaalam huu wa ujenzi ilijifunza vyuoni au kwa mazoea ya kusindikiza na kubeba vyombo vya mafundi wakubwa?