Hamujiuliza kwanini kume kuwa na idadi kubwa ya immigrants from asia na most of em ni businessmen/women now csemi kwamba ni kitu kibaya hapana tena tunawaitaji weng tu waje kuwekeza kwasababu wazawa hawawezi na n because of fikira and ingorance tulio nayo.
Like serious wameon kuna opportunity uku na mostly haitumik ipasavyo thats why walio weng wakija apa kibiashara wanafanikiwa and tunabaki tuna wonder nakujiuliza mswali ambayo haya eleweki
Na wataendelea kutake advantage of it kama sisi leo ii ukienda kweny madarasa baadh ambayo wanayaita ya kijasiriamali afu wanacho kufundisha ni kutengeneza sabuni au ufugaji wa kuku sas ni waulize ivi uo ni ujasiriamali kweli au ni utengenezaj wa sabuni au ufugaji wa kuku that doesn't make any sense..
Pia fikiria kwann most of matajir wetu tanzania ni watu either wanaback ground ya kuishi na kusoma nje ya nchi au wanabackground ya kutoka nje ya nchi and ofcoz jbu uxhaa pata ni exposure ambayo kwa namna moja au nyingne imewasaidia kufika pale walipo leo, leo tuna bahati sana vijana kwa kuwapo kwa google au youtube( social media au internet kiujumla) kupitia vitu kama ivyoo unajifunza mengi and yet tuanishia kumuangalia mond leo kafanyaj
Ain't no luck there, kama kuna luck out there trust me you are very luck kuwa kijana kwa wakati uu now tumia vzuri we don't need something which is repeatedly
Samahani ni vibe tu, but nachukia sana small thinking na watu kuto realise kwamb we are in 21st century