Unataka kuanzisha biashara mpya? Chunga mambo haya

Duu
duuuh this is Africa look how we think na..... thats not business

Mzee umeshawahi kufanya small business in Africa, Tanzania [emoji1241]??
Hayo mambo yapo na usipokuwa makini waweza kufunga biashara within 3 months of establishment.
So Mzee kagusia Point ya msingi pia kwa mazingira yetu.
 
Mzee umeshawahi kufanya small business in Africa, Tanzania [emoji1241]??
Hayo mambo yapo na usipokuwa makini waweza kufunga biashara within 3 months of establishment.
So Mzee kagusia Point ya msingi pia kwa mazingira yetu.
In accordance to mtoa maada kaanza na kusema research/report ya Bloomberg so cjajua kama io research ili husisha small business za kibongo.. ambapo ukiangalia vzur the way wabongo wanavo conduct biashara it is obvious different from state or Europe ata asia vle vle, though kuwapo na duka au machinga kwetu io ndo small businesses ckatai lakn ukiangalia vzuri kuna vitu ambavyo hawaput into play thats why weng wanaamin biashara ni bahati/imani thats not biashara biashara ni 1+1=2 thats it ata pray to got nazani jibu litakuwa 2 tu the problem hatuna elimu ya biashara yet atutak kuadmit kwamb we are ignorance na tusipo jifunza kuna watu wanatake advantage of it Tz and Africa kiujmla kuna opportunity in abundance is up to us now (I real demand changes to our great community so as country and continent kiujumla we can prosper)
 
Infact mtu yupo kweny biashara and nae anajiita mfanyabiashara but hajui income statement ni nn, balance sheet n nn,his/her business industry, how tax work how he/she suppose to pay it, market niche,market strategy,management structure pia anaon vigum kuwa contact watu ambao n pro kweny field husika kuona kama ana save ela I mean there is alot vitu kama ivyo

Yet mtu huvifanyi unatgemea kugrow in businesswise

Na mtu nikimwambia biashara ni pro/professional job mtu ananbishia

Serious this is Africa... pia walio baadh watakaa chin na kuwalaum European/white people kwamb wana ruin future yetu akati ni cc wnyew tunaiarbu mfano mzur angalia S korea and china we just have to wake up already enough is enough
 
Hamujiuliza kwanini kume kuwa na idadi kubwa ya immigrants from asia na most of em ni businessmen/women now csemi kwamba ni kitu kibaya hapana tena tunawaitaji weng tu waje kuwekeza kwasababu wazawa hawawezi na n because of fikira and ingorance tulio nayo.

Like serious wameon kuna opportunity uku na mostly haitumik ipasavyo thats why walio weng wakija apa kibiashara wanafanikiwa and tunabaki tuna wonder nakujiuliza mswali ambayo haya eleweki

Na wataendelea kutake advantage of it kama sisi leo ii ukienda kweny madarasa baadh ambayo wanayaita ya kijasiriamali afu wanacho kufundisha ni kutengeneza sabuni au ufugaji wa kuku sas ni waulize ivi uo ni ujasiriamali kweli au ni utengenezaj wa sabuni au ufugaji wa kuku that doesn't make any sense..

Pia fikiria kwann most of matajir wetu tanzania ni watu either wanaback ground ya kuishi na kusoma nje ya nchi au wanabackground ya kutoka nje ya nchi and ofcoz jbu uxhaa pata ni exposure ambayo kwa namna moja au nyingne imewasaidia kufika pale walipo leo, leo tuna bahati sana vijana kwa kuwapo kwa google au youtube( social media au internet kiujumla) kupitia vitu kama ivyoo unajifunza mengi and yet tuanishia kumuangalia mond leo kafanyaj

Ain't no luck there, kama kuna luck out there trust me you are very luck kuwa kijana kwa wakati uu now tumia vzuri we don't need something which is repeatedly

Samahani ni vibe tu, but nachukia sana small thinking na watu kuto realise kwamb we are in 21st century
 
Thread nzuri sna, lakini pia kweny biashara kuna kitu ambacho hupelekea kufa in ufatiliaji, mfano watu wanaweza kuweka order halafu ufatiliaji ukawa haupo hapo lazima biashara,ife yan fyuuuuuuu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kama kukaa karibu na moshi lazima unukie moshi kwa maana ukikaa na watu wanapositive thinking lazima akili ikue kidogo.. Inabidi tuangalie jamii yetu inawaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…