Madaktari niliwatolea mfano tu;kama nao wanaweza fika form 4,waka safiri safiri hivi,wakaenda english course,basi wakawa na uwezo wa kutibu!
WATU ULIOWAONGELEA KTK MADA YAKO NI MADALALI PEKEE
Na mtu akitaka kuwa daktari anafanyaje vile?
Naongelea madaktari wa upasuaji,meno,masikio,wanawake,na wengine wengi waliopita chuo miaka 5.
ENDELEA KUAMIN UNACHO AMINI,NI HAKI YAKO.
Naongeza,,
vii) unapoongea hakikisha sentence inachanywa na maneno ya kizungu.
viii) unaposafiri hakikisha unakua na gazeti la kiingereza i.e daily mail hata kama huelewi. Au novel.
ix) ukikutana wenzako zungumzia movies latest za holywood.
x) kama ni binti hakikisha una smartphone. Na kuzungusha kichwa as unazitoa nywele jichoni hata kama una kipara.
xi) ntaendelea...
hehehehehe!!
Mkuu umetisha kwa asilimia 100%
Shy land, zero grazing!!! umezoea matango pori unafikiri kila mtu hapa jf. huo ushauri wape mahaaami huko!!
Ufanano upi? unaongerea wewe,
kama kuishi naishi, kula na kula tena vzr, elimu ninayo
ufanano gan? sasa ambao unaozunguzia hapa.
Hii ni mada nzuri sana,lakini niwe tofauti na mtoa mada ukiangalia hivyo vitu ulivyovitaja baadhi ya wanachuo hawana ukiangalia wengi hawataki kukaa vijijini,
vijana wengi hata hao wa chuo hawana utamaduni wa kusoma vitabu lakini si watu wanaopenda kufuatilia masuala ya nchi yao mfano kuangalia bunge tuliowengi tunapenda kufuatilia masuala ya burudani kama muziki,
mpira wa miguu ambayo hamna kitu cha msingi tunachokipata, si kwamba kufuatilia hivi vitu ni vibaya,lakini visichukue sehemu kubwa ya maisha yetu,mwisho wa siku sisi vijana ndio wa kwanza kulalamika hamna ajira,
lakini kiukweli fursa zipo nyingi ni sisi wenyewe vijana kubadilika kwa kuyazingatia hayo mambo uliyoyaongelea mtoa mada.
Ili wewe jamaa ni mjivuni sana