Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

kwa ambae ampta elimu inayostahili na elimu hiyo.ikamkomboa huwez jilinganisha nae hta ukisafiri nje ya sayari kaka....lbda uzungumzie hao wanaofika chuo na kuwa watumwa wa elimu...

but for a man hu have realy invest in his mind nd he z acting on wat he hv invest utangooja sana kua kama yy...kwanza kwa uzi wako tu na comment zako inaonyesha ur not smart at all na bdo unataka jilinganisha na smart minds of people...

kajipange kijana kma ulichzea elimu kwa kujua ukisafiri sana utakua sawa na msomi mmmmh umepotea kifikra... thnx

Kwani msomi ni mtu gani na elimu inafaida gani?hebu nichambulie nipate faida.
 
kwa ambae ampta elimu inayostahili na elimu hiyo.ikamkomboa huwez jilinganisha nae hta ukisafiri nje ya sayari kaka....lbda uzungumzie hao wanaofika chuo na kuwa watumwa wa elimu...but for a man hu have realy invest in his mind nd he z acting on wat he hv invest utangooja sana kua kama yy...

kwanza kwa uzi wako tu na comment zako inaonyesha ur not smart at all na bdo unataka jilinganisha na smart minds of people...kajipange kijana kma ulichzea elimu kwa kujua ukisafiri sana utakua sawa na msomi mmmmh umepotea kifikra... thnx

Tena nilikosea tu, kusema kufafana, ni kuwazidi kabsa.

Elimu ni kitu kipana zaidi kukichambua siyo rahisi kama unavyo fikiri wewe, asante!!!

Kama nigekuwa napenda kwenda chuoni, huo uwezo ninao, kwa sababu ni hela zangu, wazazi wote wapo, na miaka yangu inaruhusu kuanza hata form one!!! nina uhakika siwezi nikafeli form four.
 
Back
Top Bottom