Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania


Kwani msomi ni mtu gani na elimu inafaida gani?hebu nichambulie nipate faida.
 

Tena nilikosea tu, kusema kufafana, ni kuwazidi kabsa.

Elimu ni kitu kipana zaidi kukichambua siyo rahisi kama unavyo fikiri wewe, asante!!!

Kama nigekuwa napenda kwenda chuoni, huo uwezo ninao, kwa sababu ni hela zangu, wazazi wote wapo, na miaka yangu inaruhusu kuanza hata form one!!! nina uhakika siwezi nikafeli form four.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…