Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

One million for ten thousand , this doesn't make sense .

Labda watumishi wa umma Kama mawaziri wenye pesa za bure.
 
Ukiweka hela nzuri na hutaki hekaheka za biashara, uwekezaji wa bond is the best investment there is.

Wanaosema 12% per annum ni return ndogo they don't know what they're talking about. Biashara nyingi hazirudishi hata 10% annually. Uki factor in muda, salary na variables zingine za biashara 10% ni kubwa let alone 12%.
 
Ukiweka hela nzuri na hutaki hekaheka za biashara, uwekezaji wa bond is the best investment there is.

Wanaosema 12% per annum ni return ndogo they don't know what they're talking about. Biashara nyingi hazirudishi hata 10% annually. Uki factor in muda, salary na variables zingine za biashara 10% ni kubwa let alone 12%.
Wanaona ni Hela ndogo sana..hawaelewi tu
 
Hii scheme bado inaendelea kuruhusu watu kuwekeza?

Sio kwamba walisitisha watu kuongeza au kuanza kuwekeza?
walishafunga kitambo sana..naona mleta mada ana malengo yake ambayo hajayaweka wazi.
 
Yaaani 1M kwa mwaka nisubiri 120k c upuuuzi kiwango cha lami, we jomba izo bond wapelekeee wale PM wakawekeze ambao wao sio kenge
 
Uwekezaji kwenye bond haulipi hata kidogo kwa wenye mitaji midogo.

Milioni moja unapata 120,000 kwa mwaka na hapo bado haijakatwa kodi.

Hii 1M mtu angeingia kwenye biashara ya mpunga mwaka jana 2024/2025 kwa mchanganuo ufuatao;
Gunia la mpunga la debe 6 liliuzwa kuanzia Tsh 42000-48000 mwanzo wa msimu.
Weka wastani wa gunia kununua hadi kusafirisha iwe Tsh 50000. Kwenye hiyo 1M yako tumia Tsh 800000 kununua mpunga kwa hiyo ungenunua gunia 16, na Tsh 200000 ibaki kama gharama za kuendeshea ununuzi huo.

Gunia moja linatoa wastani wa kilo 52-55 za mchele. Hivyo fanya kuwa umepata kilo 53 kwa kila gunia.
kilo 53× gunia 16= kilo 848.
Bei ya mchele mashineni ilikuwa 1900-2200.
Hivyo uza kwa bei Tsh 1900 kwa kilo,
848×1900 = Tsh 1,611,200.
Toa Tsh 110,000 kwa ajili gharama wakati wa kukoboa. Hivyo unabakiwa na Tsh 1,500,000.
Faida ni Tsh 500,000 kwa mwaka hapo hakuna anayekudai kodi.

Huu ni mchanganuo halisi kwa waliofanya biashara hii kwa mwaka 2024/2025. Zidisha faida hiyo mara miaka ambayo ungeweka bond.

Note: Japokuwa faida inaweza kubadilika kupungua/kuongezeka kulingana na mwaka husika lakini faida hiyo ni zaidi ya mara elfu kuliko ungeweka hela kwenye hizo bond.
Bond ni nzuri kwa wenye hela nyingi sana, ndio anaweza kuona angalau gawio lenye kueleweka, vinginevyo bond kwa wenye hela chache chache chini ya milioni 100 hailipi.
 
Back
Top Bottom