Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

Sasa kwanini kunakua na utafauti mkubwa wa Bei na Masaa au longtivity of the medicine kutokana na maelezo yenu wataalamu mlivyotuelezea
 
Naomba hiyo dawa mkuu
 
Mimi sitoi hiyo dawa ya hospitali mtakujpresakufa
Kama kuna dawa nyingine unazotumia za hospitali, hasa za kushusha
Mimi sitoi hiyo dawa ya hospitali mtakuja kufa
Kama kuna dawa zingine za hospitali mnatumia, hasa za kushusha presha, zilizopo kwenye group la nitrates, au Kama una matatizo ya presha ya kushuka, usinywe pamoja na hayo maviagra anayoyataja mtoa mada, presha itashuka maradufu ufe, kama kuna ulazima wa kutumia zote kwa pamoja, nenda hospitali wakushauri namna ya kufanya. Pia kabla hamjanywa dawa ya hospitali, muwe mnasoma maandishi ya kikaratasi cha ndani ya dawa, maana wafamasia wetu sometimes ni wavivu kutoa maelekezo.

Watu wanakufa ghfla gesti hasa walioenda umri, kwasababu wana magojwa mengine au wanatumia dawa za magojwa mengine, wanakunywa na viagra, zinaingiliana, nilichotaka kumwambia huyo aliyeulizia ni mitishamba, ambayo siuzi mimi, ni mtu mwingine ndo anazo, za magojwa mbali mbali.
 
Sildenafil citrate ni VIAGRA jina tu ndiyo limebadilika pole sana mkuu umetumia viagra pole sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni sawa na Kumuulizia SIMBA LA MASIMBA DANGOTE, CHIBU, TOTO LA KIMANYEMA, MONDI, NDOMO ni nani? Ilhali Diamond platnumz ndo unaemjua 🀣😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…