Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frankly speaking hii jina ndio naisikia leo...so yeyote atakae lifata for his own riskUnazunguka nini Jomba si uwaambie tu "Sildenafil" zipo kibao tu phamars.
🤣🤣 eti kimoja kinatia mimbaNdo ufanye siku 2,3 mfululizo?
Labda kama unatumia nguvu zako mwenyewe na sio kutumia madawa
Uje kuumwa blood pressure kwa kumfurahisha mwajuma, Amina?
Waswahili hawakukosea kusema "Kimoja kinatia mimba"
Wapo walioelewa wanajuaTabu zote hizo Ili kitokee nini?
Asubuh yote hii? Tena siku ya Maandamano?
Taifa linawaza PornðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜¢
Kama hutangazi biashara Kwanini unaficha jina la dawa? Unajenga mazingira ya rushwa utafutwe pm.Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.
Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata kupata fedheha huko ulikopania kuweka heshima.
Ngoja niseme ukweli na ufumbuzi.
Dawa ya kwanza inayoweza kukupa nguvu kama kidume kwanza hakikisha ubongo wako na akili yako ipo relaxed yani usiwazie sana tendo na kulikamia pia usiweke woga kwamba nitafanyaje au nutaweza kweli.
usichokijua kuhusu uume na ipo hivi, ubongo wa mwanadamu huchangia sana kufanya uume usimame kwasababu unapoona huu ni wakati wa tendo au huyu mtu yupo kwenye hali ya msisimko kingono ubongo hupeleka taarifa kwenye moyo ndipo moyo huanza ku pump damu kwa wingi na haraka kuruhusu ipelekwe kwa wingi kwenye mshipa wa uume.
Hiii sasa ndiomaana utaona mwanaume akiwa kadindisha mapigo yake ya moyo pia huwa yanabadilika ila hata dudu huwa inakua na joto zaidi ya mwanzo...kinadada wanafahamu ikiwa umewahi kuulizwa ilipoingia "mbona nanii yako ya moto sana"
Baada ya ubongo kua ni kila kitu...mengine yanayofata ni ziada hapo sasa ndio unakuta unywaji wa maji mengi kabla ya tendo ni njia bora ya maandalizi...na vingine vingi watu husema.
Je zipo Dawa za kuongeza au kumfanya Mwanaume awe strong zaidi kitandani ?
Jibu ni NDIYO
Ipo baadhi ya miziz na majani ambayo makabila ya zamani wazee wao walikua wakiwafundisha vijana wao na hata wanaume wa jamii hiyo kutumia na ikawa ni imara kabisa..kwasasa mpaka upate mtu sahihi mwenye kuujua kweli mti au mzizi huo vinginevyo utaibiwa.
Vipi kuhusu vumbi ka Kongo:- Binafsi sikushuri ujaribu wala kutumia kwasababu usichokijua kuhusu vumbi la kongo ile yenyewe achana na unga unga fake wanaopewa watu, vumbi la kongo linaweza badala ya kutatua tatizo ndio likazidisha hasaa yani hata uume kusimama usisimame kivipi?
Vumbi la kongo linafanya kichwa cha dudu kufa ganzi..hivyo utashiriki tendo musa wote ila husikii utamu zaidi ya kuona ukichomeka na kuchomoa kwa mwenzako pasipo hisia kimsingi unaweza kudumu ila usimlidhishe zaidi ya kumuumiza mwenzako maana atakua kama amebakwa tu hivyo hata wakat mwingine unaweza usipewe.
Pia kuna wenye shida za mishipa yao ya uume kuwa lege lege huyu sasa akipaka vumbi la kongo ndio anajiua kabisa maana dudu haitasimama kabisa why sababu atakua hahisi chochote uume umekufa ganzi..sasa ukichangia na ile mishipa haina nguvu na hapo hapo dudu ina ganzi basi utajikuta uume hauinuki na ukaumbuka zaidi.
Dawa za Pharmacy zipo?
Ndio, kuna baadhi ya Dawa za Pharmacy ambazo zinatambulika kimataifa kuwa na uwezo mzuri kusaidia ila si kutibu?a mara nyingi kwa tatizo la nguvu za kiume tiba ni nadra sana kwa dawa za Pharmacy ila ku boost ili ufanye kazi unapata.
Dawa maarufu Viagra hii tumeaNa kuisikia toka enzi huenda ni nzuri ila kasoro yake ukiisha itumia usipopata tendo inaweza kuwa hatar kwako maana uume utakua dede muda wote, pia ukizidisha kiwango sahihi madhara yake ni hatar sana na ni hapo hapo. Na ikiwa una maladhi ya kisukari..pressure na mengine yasiyofaa athari hake hata kupoteza maisha tumesikia watu wengi hasa wazee wanaotumia badae chumbani mambo hugeuka na kusikia vifo kadha wa kadha.
Dawa nayoifahamu
Kuna siku katika utafiti wangu nalikutana na mtu mmoja wa asili ya Asia katika kuongea alikua na packti flani akameza kidonge kimoja nilipodadisi akanambia masaa 2 hajayo atakutana na mpenzi wake flani wa asili ya kiafrika (mbongo) hivyo anajua hasa weusi huwa wanamanjonjo sana na wapo strong hivyo huwa anapenda kuji bust ili asiishie njian.
Nilikua suprised ila kwa utafiti zaidi nikaona hapana wacha nitest mitambo pia, nakili nilijaribu na masaa 2 baada ya kukitumia nilijisikia kawaida tu kwa maelekezo ya kidonge unaweza shiriki tenda ukimeza kidonge baada ya saa 1 au 2, lakini hata usiposhiriki haina madhara wala uume hausimami mpaka utakapokua sex stimulated.
Baada ya muda nakumbuka kesho yake nilikaa hotelini na mpendwa wangu kuanua asubuhi mpaka jioni ya saa 2 usiku, sikumbuki idadi ya Gori ila tulikua na kazi ya kula chakula..maongezi kidogo tendo..maongezi kidogo tendo kwa siku 2 mfululizo.
Japo maelekezo ya kitaalamu yanasema ile dawa hukaa kwa masaa 36 nadhani nikweli maana hata kesho yake ilikua nikitaka tendo bado ningeweza tena kama sikufanya kabisa.
Najua kuna baadhi watakao soma uzi huu huenda wakahisi natangaza kujipatia wateja au kutangaza soko, Ama pengine mwingine ataenda mbali zaidi na kusema natengeneza scenario ya kupiga watu pesa.
Sina nia hiyo ila nimejisikia tu kulizungumzia maana ni kitu nacjokifahamu na humu ni sehemu ya kuelezea idea mbali mbali.
Hivyo vidonge Pharmacy zote kubwa wanavyo vinakua vya 5g, 10g na 15g
Jina lake linaanzia na herufi " S " na kuishia na " L "
maduka mengi huuza Tsh elfu 8- 10,000/= kulingana na ulipo.
Iki uliwahi kuvisikia nikweli hivyo ni habari nyingine.
Vilitengenezwa maalumu kwa watu wenye shida ya hormone chache za sex au waliopoteza hisia.
Hakikisha huna magonjwa ya pressure wala kisukari.
Nini nilikielewa hiki..ukiisha kitumia hata mdada akila nauli yako hupati pressure ya mnara kushindwa kulala maana kwanza hautakua umeinuka mpaka tu pale uwe stimulated wakat wa maandalizi.
Ushauri: kunywa maji sana...kula vizuri..kuwa mind free ukiwa na miadi ya yendo usipanik wala kuwaza ntaweza au lah hakunaga upungufu wa nguvu za kiume.
Ila kwa special case wazee wa kuonesha umwamba, ama ndo penzi jipya kumkoleza shangazi haya mara moja moja mtishe kwa hiyo.
Sijaiweka public kulinda kutangaza biashara..pia kutoa taharuki nime share idea nikijuacho.
Ukinifata nikuelekeze jina lote qa lazima nitakucharge pesa ya usumbufu hilo ujiandae hahah.
Kazi kwenu wakurungwa.
Mimi nimeshare idea..sikua na nia ya kutaja Dawa na nimeona nikitaja dawa pengine huko madukani patakua na foleni na pengine wengine wakaitumia vibaya na kupata madhara. Nisamehe mimi punguza hasira hahahaUnataka malipo kwa kutaja dawa ambayo hujachangia chochote katika uvumbuzi wake? Au utatoa na mzigo pia baada ya mtumiaji kutumia dawa?
Halafu nigonge siku mbilli ili iweje? Iwe kwa nia ya kutia mimba au kustareheka, kinachohitajika na bao 1 tu, hayo menigne ni kujitesa tu.
Dah Prof. Unafail asee.....Nimeona kabla sijaanza kufagia niweke bandiko kwanza
Punguza makasiriko bro hahahKama hutangazi biashara Kwanini unaficha jina la dawa? Unajenga mazingira ya rushwa utafutwe pm.
Mzee nikimwaga mchele hapa ntazua tahalukiDah Prof. Unafail asee.....
DuhKama kweli ni ushauri! ungetutajia jina la dawa ili watu tutumie
Au ni Sildenafil
sio unasikia leo hata uki google, au ukienda wikiped watakupa maelezo ni viagra moja matata sana kwenye packt vinakaa vinne ni rangi ya blue, wee watu tupo kwenye game kitambo tunajua chocho zote za haya mambo kwa kumsaidia mtumiaji nyingine zinaitwa blue pill hz dawa ni nouma hizo anazotolea maelezo jomba zikasome unafichaficha unataka kugundua nn sifa ya mwanaume weka waz mambo wana waruke nayoFrankly speaking hii jina ndio naisikia leo...so yeyote atakae lifata for his own risk
viagra hizo hapana bora vumbi tuKwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.
Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata kupata fedheha huko ulikopania kuweka heshima.
Ngoja niseme ukweli na ufumbuzi.
Dawa ya kwanza inayoweza kukupa nguvu kama kidume kwanza hakikisha ubongo wako na akili yako ipo relaxed yani usiwazie sana tendo na kulikamia pia usiweke woga kwamba nitafanyaje au nutaweza kweli.
usichokijua kuhusu uume na ipo hivi, ubongo wa mwanadamu huchangia sana kufanya uume usimame kwasababu unapoona huu ni wakati wa tendo au huyu mtu yupo kwenye hali ya msisimko kingono ubongo hupeleka taarifa kwenye moyo ndipo moyo huanza ku pump damu kwa wingi na haraka kuruhusu ipelekwe kwa wingi kwenye mshipa wa uume.
Hiii sasa ndiomaana utaona mwanaume akiwa kadindisha mapigo yake ya moyo pia huwa yanabadilika ila hata dudu huwa inakua na joto zaidi ya mwanzo...kinadada wanafahamu ikiwa umewahi kuulizwa ilipoingia "mbona nanii yako ya moto sana"
Baada ya ubongo kua ni kila kitu...mengine yanayofata ni ziada hapo sasa ndio unakuta unywaji wa maji mengi kabla ya tendo ni njia bora ya maandalizi...na vingine vingi watu husema.
Je zipo Dawa za kuongeza au kumfanya Mwanaume awe strong zaidi kitandani ?
Jibu ni NDIYO
Ipo baadhi ya miziz na majani ambayo makabila ya zamani wazee wao walikua wakiwafundisha vijana wao na hata wanaume wa jamii hiyo kutumia na ikawa ni imara kabisa..kwasasa mpaka upate mtu sahihi mwenye kuujua kweli mti au mzizi huo vinginevyo utaibiwa.
Vipi kuhusu vumbi ka Kongo:- Binafsi sikushuri ujaribu wala kutumia kwasababu usichokijua kuhusu vumbi la kongo ile yenyewe achana na unga unga fake wanaopewa watu, vumbi la kongo linaweza badala ya kutatua tatizo ndio likazidisha hasaa yani hata uume kusimama usisimame kivipi?
Vumbi la kongo linafanya kichwa cha dudu kufa ganzi..hivyo utashiriki tendo musa wote ila husikii utamu zaidi ya kuona ukichomeka na kuchomoa kwa mwenzako pasipo hisia kimsingi unaweza kudumu ila usimlidhishe zaidi ya kumuumiza mwenzako maana atakua kama amebakwa tu hivyo hata wakat mwingine unaweza usipewe.
Pia kuna wenye shida za mishipa yao ya uume kuwa lege lege huyu sasa akipaka vumbi la kongo ndio anajiua kabisa maana dudu haitasimama kabisa why sababu atakua hahisi chochote uume umekufa ganzi..sasa ukichangia na ile mishipa haina nguvu na hapo hapo dudu ina ganzi basi utajikuta uume hauinuki na ukaumbuka zaidi.
Dawa za Pharmacy zipo?
Ndio, kuna baadhi ya Dawa za Pharmacy ambazo zinatambulika kimataifa kuwa na uwezo mzuri kusaidia ila si kutibu?a mara nyingi kwa tatizo la nguvu za kiume tiba ni nadra sana kwa dawa za Pharmacy ila ku boost ili ufanye kazi unapata.
Dawa maarufu Viagra hii tumeaNa kuisikia toka enzi huenda ni nzuri ila kasoro yake ukiisha itumia usipopata tendo inaweza kuwa hatar kwako maana uume utakua dede muda wote, pia ukizidisha kiwango sahihi madhara yake ni hatar sana na ni hapo hapo. Na ikiwa una maladhi ya kisukari..pressure na mengine yasiyofaa athari hake hata kupoteza maisha tumesikia watu wengi hasa wazee wanaotumia badae chumbani mambo hugeuka na kusikia vifo kadha wa kadha.
Dawa nayoifahamu
Kuna siku katika utafiti wangu nalikutana na mtu mmoja wa asili ya Asia katika kuongea alikua na packti flani akameza kidonge kimoja nilipodadisi akanambia masaa 2 hajayo atakutana na mpenzi wake flani wa asili ya kiafrika (mbongo) hivyo anajua hasa weusi huwa wanamanjonjo sana na wapo strong hivyo huwa anapenda kuji bust ili asiishie njian.
Nilikua suprised ila kwa utafiti zaidi nikaona hapana wacha nitest mitambo pia, nakili nilijaribu na masaa 2 baada ya kukitumia nilijisikia kawaida tu kwa maelekezo ya kidonge unaweza shiriki tenda ukimeza kidonge baada ya saa 1 au 2, lakini hata usiposhiriki haina madhara wala uume hausimami mpaka utakapokua sex stimulated.
Baada ya muda nakumbuka kesho yake nilikaa hotelini na mpendwa wangu kuanua asubuhi mpaka jioni ya saa 2 usiku, sikumbuki idadi ya Gori ila tulikua na kazi ya kula chakula..maongezi kidogo tendo..maongezi kidogo tendo kwa siku 2 mfululizo.
Japo maelekezo ya kitaalamu yanasema ile dawa hukaa kwa masaa 36 nadhani nikweli maana hata kesho yake ilikua nikitaka tendo bado ningeweza tena kama sikufanya kabisa.
Najua kuna baadhi watakao soma uzi huu huenda wakahisi natangaza kujipatia wateja au kutangaza soko, Ama pengine mwingine ataenda mbali zaidi na kusema natengeneza scenario ya kupiga watu pesa.
Sina nia hiyo ila nimejisikia tu kulizungumzia maana ni kitu nacjokifahamu na humu ni sehemu ya kuelezea idea mbali mbali.
Hivyo vidonge Pharmacy zote kubwa wanavyo vinakua vya 5g, 10g na 15g
Jina lake linaanzia na herufi " S " na kuishia na " L "
maduka mengi huuza Tsh elfu 8- 10,000/= kulingana na ulipo.
Iki uliwahi kuvisikia nikweli hivyo ni habari nyingine.
Vilitengenezwa maalumu kwa watu wenye shida ya hormone chache za sex au waliopoteza hisia.
Hakikisha huna magonjwa ya pressure wala kisukari.
Nini nilikielewa hiki..ukiisha kitumia hata mdada akila nauli yako hupati pressure ya mnara kushindwa kulala maana kwanza hautakua umeinuka mpaka tu pale uwe stimulated wakat wa maandalizi.
Ushauri: kunywa maji sana...kula vizuri..kuwa mind free ukiwa na miadi ya yendo usipanik wala kuwaza ntaweza au lah hakunaga upungufu wa nguvu za kiume.
Ila kwa special case wazee wa kuonesha umwamba, ama ndo penzi jipya kumkoleza shangazi haya mara moja moja mtishe kwa hiyo.
Sijaiweka public kulinda kutangaza biashara..pia kutoa taharuki nime share idea nikijuacho.
Ukinifata nikuelekeze jina lote au hata kukutafutie lazima nitakucharge pesa ya usumbufu hilo ujiandae hahah.
Kazi kwenu wakurungwa.
Sasa kama ulijua tutauliza mbona hujaweka mawasiliano Yako na bei Yako?Hahahah...mi mbona mapemaa nilijua kauli hizi zitakuja
Hivyo vitu vipya mnaexplore mpaka usiku wa manane?? Nenda huko mbugani uone wazungu wanavyotombanaWabongo wengi wanajua vacation ni kwenda kupigana miti kila wakati, sasa muda wa kuexplore vitu vipya mtaupata saa ngapi?
Mimi nayosema hukaa 1 tu mzee, na nimelezsa kitu ambacho nina uelewa nacho kwa kiasi...hivi vyako nimevisikia nami napokea kujifunza hakuishi kiongozi ila kila mtu asimamie anachokielewa zaidi., kama hutojali tengeneza uzi au kuepusha nyuzi nyingi za haya tengeneza elaboration ndefu ukizungumzia expirience yako na hizo uweke humu kwenye huu uzi tujifunze zaidisio unasikia leo hata uki google, au ukienda wikiped watakupa maelezo ni viagra moja matata sana kwenye packt vinakaa vinne ni rangi ya blue, wee watu tupo kwenye game kitambo tunajua chocho zote za haya mambo kwa kumsaidia mtumiaji nyingine zinaitwa blue pill hz dawa ni nouma hizo anazotolea maelezo jomba zikasome unafichaficha unataka kugundua nn sifa ya mwanaume weka waz mambo wana waruke nayo
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]UNAZUNGUKA NINI JOMBA SI UWAAMBIE TU "SILDENAFIL" ZIPO KIBAO TU PHAMARS
Chururu yako itakapokufa ganzi hata pasipo kupaka vumbi utakuja kuleta habarviagra hizo hapana bora vumbi tu