Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
I repeat,Ukiwaza negatively unatisi anazingua, think of it in a positive way, huenda hata kuwasaidia binti zako in the future.
Kama nilielewa hoja yako ya kwanza ilikuwa ina mhadaa mtoa MADA japo uliificha ficha WATU wasielewe ulikuwa na maana kwamba kaumizwa so anaandika MADA za namna hii SABABU hiyo ila uandishi wake hauonyeshi hila, namfananisha na MTU anaekuambia ukweli ila haonyeshi kama ZILE tabia za panya za kung'ata na kupuliza. Unachapwa hasa. Pole sana.Danganyaneni.
No GOD in your wisdom.
Sanasana mnachofanikiwa ni kuzidi kuziweka mbali hizi jinsia mbili.
Fool's wisdom.
Tatizo lenu Huwa hamtaki kuambiwa kweli jamaa kazungumza kweli tupu.Wote mnaokojoa mmesimama mnaokwazika (for whatever reason) kuona mwanamke akiolewa, pangeni mstari mjipitishe pitishe waoaji wawaone muolewe nyie
Tuje tuwafanyie send off
Comrade, men also have pasts. But that argument ignores a simple truth. men and women are not judged by the same standards in relationships, because they do not bring the same responsibilities into marriage.Huwa ume focus sana kwenye past past. .
Do you know the psychology (and the spirit) behind you focusing on people's past?
Halafu wewe (mwanaume) unataka tu focus tu kwenye future yako.
Do you know why?
Hapana hujamwelewa kasema mwanamke ILI afanyiwe uovu lazima atenganishwe na mwanaume alie NAYE.Kaanzisha thread ya uovu wa kumfanyia mwanamke.
Wewe tuanzishie thread ya mema ya kumfanyia mwanamke.
Nilichojifunza, hapa jukwaani kuna watu tayari wapo standby kupinga chochote ninachokiandika, na huyo ukiemnukuu ni mmoja wapo. Mawazo yao ni kwamba chochote kinachoandikwa na Natafuta Ajira ni cha kupingwa tu.Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?
Kwamba sio kweli mwanaume akitaka kumuibia mwanamke haangalii kama kuna mwanaume pembeni yake? Iwe kununua/kukarabati magari, ujenzi/ukarabati wa nyumba nk, hakuna ukweli wowote?
"bwana ako amekukataza kutoka usiku kwa sababu hataki ule maisha"
Ulokole na ukichaa huwa vina fanana sanaNilichojifunza, hapa jukwaani kuna watu tayari wapo standby kupinga chochote ninachokiandika, na huyo ukiemnukuu ni mmoja wapo. Mawazo yao ni kwamba chochote kinachoandikwa na Natafuta Ajira ni cha kupingwa tu.
Sikatai watu kunipinga na ninapenda sana challenge. Wapo wakina min -me Yoda Hziyech22 n.k kwenye kukubaliana tunakubaliana, kwenye kupingana tunapingana without hard feelings
You are better than thisWote mnaokojoa mmesimama mnaokwazika (for whatever reason) kuona mwanamke akiolewa, pangeni mstari mjipitishe pitishe waoaji wawaone muolewe nyie
Tuje tuwafanyie send off
Unahitaji sana kunisikiliza ndio maana haukosekani kwenye thread zangu. You are obsessed with me and you can't deny it.I repeat,
FOOL'S WISDOM.
Sihitaji msaada wa mtu who has nothing positive to say about women ever, yeye misukosuko mwanzo mwisho akijifanya anawasaidia wanaume. You'll know them by their fruit.
Mradi MUNGU hajatajwa hapo ni uharibifu in disguise.
Binti zangu wamsikilize YESU sio self proclaimed traumatized relationship gurus wa mitandaoni.
Hata mimi nikienda kinyume naye wanikatae. Hao ndo mabinti nawataka.
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.
Sivyo kabisa.Kaanzisha thread ya uovu wa kumfanyia mwanamke.
See you around. Next time try to be better than todayJamani sijamaliza kusoma paragraph zenu maybe next time.
OgaBoy pole kampe demu wako mimi sina shida nayo.
We mjaze ujinga tu.
No happy person goes around with such attitude ya huyu mleta mada. Ukaa kwenye kisimu chako kupost misukosuko non stop.
Huyu anawaambukiza misukosuko. Im telling you.
Mtafute wanaume wanaofurahia wake zao ndo muwasikilize, wataambukiza furaha yao na positivity yao.
Na mumfuate MUNGU sio hawa makungwi wenu wa mitandaoni kina Natafuta Ajira. MUNGU ndo atawaepusha na ma ballistic missles otherwise mtaishia kuwa ving'ora kila siku. Aibu.
Bye
Upo sahihi, ila unayemjibu amekiri hakusoma content ya uzi. Amesoma kichwa tu (heading) akaanza kujibu..Hapana hujamwelewa kasema mwanamke ILI afanyiwe uovu lazima atenganishwe na mwanaume alie NAYE.
Ni ngumu kumdhurumu mwanamke anayejenga nyumba akiwa ana mume au mwanaume AMBAYE ni kama mshauri wake ila ni RAHISI Kwa yule asiye na mume au mwanamume.
Hivyo KATIKA Uzi wake anataka kuonyesha umuhimu WA mwanamke kiwanna mme na sio kufundisha kumtendea mwanamke ubaya.
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.
Wapo humu wanagonga likeHuu ujumbe wako nimeuelewa sana. Wanawake wengi wameingia kwenye huu mtego na maisha yao yamevurugika beyond repair.
Reading between the lines, ndio changamoto ya huyo jamaa uliemnukuu. Sijajua kama ni mwanamke au mwanaume,kwahiyo nashindwa kujua niende nae kwa mtazamo wa kike au wa kiumeSivyo kabisa.
Nadhani umeelewa vibaya kwa kuwa hukusoma uzi, umesoma heading pekee. In my opinion the heading is misleading. Ukisoma uzi utamuelewa
Hatari sana...To take advantage of a woman you must make sure she has no man's protection or there's is no man she listens to. Sell her the idea of being free to do what ever she likes. Once you achieve this you have unlimited number of women to exploit, scam, use, damage, harm, traumatise or destroy while convincing them that you are giving them right and opportunity to exercise their freedom.
Thieves understand this. Businesses understand this. Toxic friends understand this. Corrupt men understand this. Feminists understand this.