Unataka kumshika mtu paji lake la uso au mkono akapata shoti au kudondoka...fanya hivi....(The arts of Static Electricity)

Unataka kumshika mtu paji lake la uso au mkono akapata shoti au kudondoka...fanya hivi....(The arts of Static Electricity)

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Fahamu namna unavyoweza kutumia umeme wako wa mwilini kumtetemesha mtu mwingine,


Kuna wanamazingaombwe wengi,wanaojua vizuri nini cha kufanya kujikusanyia chaji nyingi kwa muda mfupi.

Kikubwa wanachozingatia mazingira na mavazi.



Vifaa....

1.Eneo unalotembea au kupitisha miguu lazima liwe na chanzo kikuu cha kukujaza chaji mwilini mwako mfano CARPET(Zuria)

2.Uwepo wa feni yenye nguvu eneo hilo itakayokua ikikupuliza kupunguza kiasi cha unyevu nyevu katika eneo lako ili kuepusha umeme kuvujia katika hewa au ardhi.

3.Ili upate chaji nyingi mwilini kwa haraka hakikisha soli za kiatu chako unaipitisha kama kuiburuza au kuirusha kutoka nyuma kwenda mbele jirani na CARPET.Kuruka ruka au kudunda dunda pia inaweza chochea mwili wako kujikusanyia chaji.

3.Vaa nguo za material ya plastic epuka cotton...nguo zilizofunika mwili wako vizuri huweza kuchochea chaji kujaa mwilini mwako kama vile suti,koti n.k

4.Vaa kiatu chenye soli ya PVC au RUBBER

5. Utaweza kuachia VOLT 35,000 ukimgusa mtu paji lake la uso au mkono,umeme huu hua ni mwingi mara 140 ya umeme wa nyumbani na hutoka kwa mkupuo ndani ya sekunde moja, kama tu utamshika mtu mwingine...

6.Unayetarajia kumsuprise awe hakua katika mazingira wewe uliopo awe katika sakafu ya kawaida isiyo na zuria.

Umeme huu hauna madhara kwa afya ya mwanadamu,haijawahi patikana record ya madahara,japo unaweza kusababisha mpokea chaji kuhisi mstuko au kutetemeshwa.

Utakaye mshika atahisi mstuko na kucheza cheza kwa misuli yake kwa speed ya ajabu na anaweza kudondoka...

Na akaweza hisi wewe ni mtu wa ajabu au wa miujiza kuna watu hutumia akili hii ya ndani ya umeme kutekeleza mazingombwe flani.


Nje ya hapo Umeme mgando unaweza kua na madhara kwa muhusika mwenyewe mbeba chaji kama

1.Kumpa stress na hali ya makasiriko au uchovu na vipele vidogo vidogo...unashauliwa ukitoka safari au kazini vua viatu vyako kanyaga ardhi kupunguza au kuondoa umeme mgando mwilini mwako utajisikia vizuri

2.Unaweza shika kitu kama kitasa au kitu chochote cha chuma na ukahisi hali ya kutetemeshwa.

3.Unaweza sababisha cheche zitakazopelekea moto kama tu eneo ulilopo ni la mazingira ya flammability.


TRANSISTOR!
 
Dah! Tayari nimeshakuwa tajiri kupitia huu uzi. Muda si mrefu nitahamia Dar na kuanzisha huduma yangu mpya ya uponyaji na unabii.
 
Back
Top Bottom