Nimepigia mstari tu kaka......................Mgombezi acha ujinga wewe, Nani kakwambia kua ni lazima ukipata mwingine atakua na matatizo zaidi? Hizo ni imani mbovu zinazowafanya wanandoa wasiwe na amani kakti maisha yao, wawe watumwa wa wenzao, na kufanya mapenzi nje ya ndoa zao. Uvumilivu unakikomo bwana, baada ya hapo hakuna mapenzi tena...ni mateso tuu!
Mgombezi acha ujinga wewe, Nani kakwambia kua ni lazima ukipata mwingine atakua na matatizo zaidi? Hizo ni imani mbovu zinazowafanya wanandoa wasiwe na amani kakti maisha yao, wawe watumwa wa wenzao, na kufanya mapenzi nje ya ndoa zao. Uvumilivu unakikomo bwana, baada ya hapo hakuna mapenzi tena...ni mateso tuu!
Uvumilivu unakikomo bwana, baada ya hapo hakuna mapenzi tena...ni mateso tuu! Nimepigia mstari tu kaka......................
Kuna mtu mwingine anajijua lakini hataki kujirekebisha lakini wakimwagana kwa mpya atakaekuja anaweza akajirekebisha! matatizo yake.Mgombezi acha ujinga wewe, Nani kakwambia kua ni lazima ukipata mwingine atakua na matatizo zaidi? Hizo ni imani mbovu zinazowafanya wanandoa wasiwe na amani kakti maisha yao, wawe watumwa wa wenzao, na kufanya mapenzi nje ya ndoa zao. Uvumilivu unakikomo bwana, baada ya hapo hakuna mapenzi tena...ni mateso tuu!
Waweza fungua hizi Link hapa chini:Na ni njia zipii za kuachana na mwanaume mkorofi! Maana si wanawake pekee wakorofi, na wanaume makauzu tena zaidi ya dagaa wapo.
Ni kweli mkuu, hata kama anakuua wewe vumilia tu, ile uende mbinguni...........................LOLUVUMILIVU haupaswi kuwa na kikomo; utashindwa kuvumilia. Matatizo ya wanadamu yanatofautiana; vilevile kumbuka UVUMILIVU unapaswa kuendana na KUCHUKULIANA. Yaani unamwelewa mwenzako katika udhaifu wake.
Du! mkuu hapa nimecheka ndio maana nilisubiri majibu!Ni kweli mkuu, hata kama anakuua wewe vumilia tu, ile uende mbinguni...........................LOL
Mimi kwa mama CantaNgina nimefika.............Nawashauri wenye ndoa pasua kichwa...........
Da' AshaDii, mie mzima wa Afya, hofu na mashaka ni kwako wewe na familia yako mlioko mbali na upeo wa macho yangu, na utakapo kujua khali zetu, mie na familia yangu tuwazima wa afya na tu salama buheri....................
Asalaaamu Aleikhum Da AshaDii...............
Baada ya salaam, ningependa tu kusema kuwa naheshimu sana maoni yako, na huwa nafarijika saana pale nionapo neno lako kwenye uzi wowote ninaoutundika humu.
Pamoja Daima................
Maana mimi nachukia kuachana asema BWANA Mungu wa Israel ... awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana malaki 2: 15.
Waweza fungua hizi Link hapa chini:Kwa usemi huu mchakato wa kuhakikisha mama anarudi b4 weekend unaanza rasmi. Ila kesho nitaugua ili usiende job (ni valentine, tunamsaidia maza kukuchunga)
Samahani dingi, natamani advice ingejumuisha na kinamama manake hata wamama wanaopitia mateso haya ni wengoi pia.
Hili ni darasa huru, hapa mwenye masikio na asikie...
Nadhani wasingewaoa toka awali. Kweli mkorofi wa hivyo anafichaje makucha hadi anaolewa? Au wakati wa kumuoa macho yalikuwa kengeza kila kitu yaliona sawa tu, kishaolewa na kuzaa watoto then talaka zije?? Nashauri wasiwaoe kabisa watu kama hao.
Kuna yule jamaa wa Arusha alifika bei, hebu niambie mlimalizana vipi ili nijue kama nachukua changu mapema, maana siku hizi sioni hata ukifanya bidii na masomo, Ibilisi keshakuingia wewe.....................Heshima yako baba,
Naamini kila ndoa haikosi mojawapo ktk hayo,
Na sio yote yanafanywa na wanawake tu kuna mengine unamkuta mwanaume ndio kbs,
Kilichopo ni kuomba mungu na kupata hekima ya kuishi na mwenza wako,
All in all tasisi ya ngoa ni pasua kichwa tu sema watu wanavumiliana tu.