Unataka kunichezea tu!

aaahhh mi napenda ukweli bwana ..........tudinyane yaishe mambo mengi ya nini uongo kibao
 
Kwani "kuchezewa" kuna age restrictions? Unaweza kutana na mdada ana watoto 2 na huenda hajawahi olewa ila labda alizaa hao watoto akiwa kwenye mahusiano! Huyu naye ukimsomesha naye anaaanza kukwambia usimchezee maana aliisha chezewa sana! Nashindwa elewa nadhani wale mabinti wadogo wakisema kuchezewa naelewa haraka. Mtu kama Drogba ama Giggs utamchezesha mechi gani ashangae?
 
hizo mbon akibao tu...naogopa kutoa ushuhuda hapa signature inani restrict
 
Hahahahahahahah Rev bwana hili nalo neno mchungaji. Ila yeye huyu aliyezaa anaweza akawa hataki michezo yuko serious anahitaji mahusiano thabiti
 
Hahahahahahahah Rev bwana hili nalo neno mchungaji. Ila yeye huyu aliyezaa anaweza akawa hataki michezo yuko serious anahitaji mahusiano thabiti

Watoto wawili jamani! Mmoja inaeleweka kuna makosa wadada hufanya! Sasa Mtu yuko kwenye Mid thirties anaogopa kuchezeana?
 
Watoto wawili jamani! Mmoja inaeleweka kuna makosa wadada hufanya! Sasa Mtu yuko kwenye Mid thirties anaogopa kuchezeana?

Sasa si anakuwa keshacheza sana anatamani apate chake nae akatambe kwenye kitchen party??
 
Sasa si anakuwa keshacheza sana anatamani apate chake nae akatambe kwenye kitchen party??

Mhh wana namna hiyo mimi huona huyo kama Mwizi mzoefu anajaribu kuiba gerezani!
 
Siku hizi wa aina hii wako wengi tu na wamejipa majina kama F*** Buddy & Friends with benefits. Mkijisikia sikia mnatafutana na kujimwaga sehemu sehemu ili mmalize haja zenu na kisha kila mtu kushika 50 zake, lakini wengi inadaiwa inawashinda hii hasa Wanaume.
 
urafki wa mwanamke namwanaume kwa dunia ya sasa bila kuvuliana chupi?? Cjui kama itawezekana
 
hahahaaa hiyo kweli kituko, kwa binti mbichi ina make sense kidogo lakini kwa kina Giggs aaaah wapi!
 
Hii ni ngumu. friend wit benefit then mtu anafall kikwelikweli
 
...Inawezekana sana tu.

Kupenda kupo, lakini si kila unayempenda utaishi nae milele. Kila mtu ana matakwa na vigezo vyake.
"...vitani, unahitaji silaha za mashambulizi na mahandaki ya kujihami"---

.........πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:......
 
Nyandiwa au yeyote yule.., naomba nifafanuliwe hayo maandishi mekundu..!

Unakuta mkaka ni mchafu sana tu na bado anataka kuwa na mdada anayejiheshimu pasipo na future yeyote.

KWanini asiwatafute wadada wanaoendena na tabia yake ili kusiwe na kulaumiana?
 
Unakuta mkaka ni mchafu sana tu na bado anataka kuwa na mdada anayejiheshimu pasipo na future yeyote.

KWanini asiwatafute wadada wanaoendena na tabia yake ili kusiwe na kulaumiana?

swali zuri.....wao wanagusa gusa tu akijua anapita huku akimdanganya mwenzie kuna future,inaumiza sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…