Mwambie .....mwambie...dada wa kichagga wanaouwezo wa kujifunza mambo mapya...sio kazi tu ..bali hata kujiremba na mapenzi....all weather....wanajuwa kuzitumia pesa na zaidi kuzitafuta......nakumbuka enzi ya mkapa kuanzia rais ,waziri mkuu,na rais wa zanzibar..[na wengine kama warioba,Bomani"s etc] walikuwa wanakula Christmas Moshi......siku moja Mkapa akawaapa sana pombe wazee migombani....akawambia ,"nyie shemeji zangu bwana ...tunakula wote ,tunakunywa wote ...na bado mnampa kura Ndessa..."...ikawa kama utani wakacheka sana.....ndio maana nawashangaa sana watu ambao wanataka kuwabagua bila kujuwa wachagga wana symperthy..toka kila pande ya nchi ...kutokana na aidha kuoa au kuolewa...sasa ni wazi unapopanga mabaya dhidi yao inawezekana unayepanga naye ni mzaramo [lakini mama yake mchagga]...ambaye bado wajomba zake wamemu inspire kwenye mengi.....kuna mmoja anasema hataki wakaskazini wapewe nchi lakini kijana wake ameoa huko ..bila kujuwa..lets be one ..one big and strong country!!