Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Na huyo mwanamke nae ahakikishe bikra anayo kabla hajatoa hio ultimatum! Sio unakazia hukumu wakati ulishauza mechi na umekatwa utepe! Otherwise utakuwa ni utapeli.Na boyfriend asidemand sex ,hadi pale atakapokuwa na umiliki juu ya mwanamke huyo.
Awe anayo au Hana,ni illegal kumuomba tendo kabla ya ndoaNa huyo mwanamke nae ahakikishe bikra anayo kabla hajatoa hio ultimatum! Sio unakazia hukumu wakati ulishauza mechi na umekatwa utepe! Otherwise utakuwa ni utapeli.
Uwe na uhakika kuwa upo sealed vinginevyo mahari urudishe ikitokea ushachanwa seals na harusi hamna!
Usizungumze kwa hisia tunaenda na facts!Awe anayo au Hana,ni illegal kumuomba tendo kabla ya ndoa
Ukimuomba basi na wewe uwe tayari kuombwa pesa maana wote mnafanya yaliyo kabla ya wakati sahihi.
Kufanya mara ya kwanza,2,3 au mara nyingi katika mahusiano ya awali haimpi uhalali mtu kuendelea kufanya dhambi hiyohiyo.Usizungumze kwa hisia tunaenda na facts!
Kama ulishawahi kuwa na mahusiano ya awali na mkafanya matusi mara kwa mara mpaka mlipoachana. Nini kinakupa uhalali wa kukataa kushiriki ngono na patner wako mpya?
Huwa mwanamke kujitunza kwa ajili ya mumewe ni faradhi sio option. Kiroho mwanaume wa kwanza kukuingilia ndio mumeo huyo. Ndio utaratibu ulivyopangwa kiimani! Na ndio maana tunalipa mahari kama shukrani kwa wazazi kututunzia binti kwenye maadili kwa kipindi chote mpaka tulipofikia kumchukua kama mke wetu. Bahati mbaya wengi hulipuuza hili!
Ukiniambia wewe ni bikra na kuwa una abstain sex mpaka tufunge ndoa nitakuelewa vizuri tu katika kipindi chote cha kuchumbiana. Ila hio bikra uwe na uhakika unayo sababu baada ya mahari lazma nitataka kukata uzi!
Endelea kubaki na wazazi wako wakulee mpaka uwe bibi!Kufanya mara ya kwanza,2,3 au mara nyingi katika mahusiano ya awali haimpi uhalali mtu kuendelea kufanya dhambi hiyohiyo.
Kiimani umeongea vizuri kabisa,lakini huyo mwanaume pia asiwe ameonja onja huko nje.
Fact ni kwamba siombi hela huniombi sex..
Ukiniomba sex nakuomba hela.
Suala la kunitunza kabla ya mahari ni la wazazi,na suala ya kufanya ndoa ni la waliooana tayari.
Sawasawa.Endelea kubaki na wazazi wako wakulee mpaka uwe bibi!
Za kununua zipo na zitaendelea kuwepo.
Heheheheh atapatikana ambaye anakaa kwenye braces vizuri! Uzuri kuna mwanamke kwa kila mtu yani...Huwezi kuwa umegaragazwa halafu kutoa K unaleta masharti ya kishamba wakati sio bikra!Sawasawa.
Ukinunua haunikomoi Mimi.
Wote fainali uzeeni.
Kuna muda utafika utapata uhutaji tu wa kuwa na familia ..hiyo ni kwa wote;mwanaume na mwanamke.
Uzuri kuna wanaume ambao hufuata utaratibu [emoji2960]Heheheheh atapatikana ambaye anakaa kwenye braces vizuri! Uzuri kuna mwanamke kwa kila mtu yani...Huwezi kuwa umegaragazwa halafu kutoa K unaleta masharti ya kishamba wakati sio bikra!
True ila hizi changamoto nimezijulia naninafanyia kazi[emoji23][emoji23][emoji23]a lot of men are still boys
Wadada ambao hamjaolewa nawapa pole kuna changamoto kwakweli
Na nyie mliolewa hamjipi pole ?[emoji23][emoji23][emoji23]a lot of men are still boys
Wadada ambao hamjaolewa nawapa pole kuna changamoto kwakweli
Umeandika vyema ila hapo chini umeharibuUpo sahihi kabisa.
Pia ongezea tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa,,usimuombe/asikuombe mapema kabla hujamlipia /hajalipiwa mahari.
📌 Ni ngumu sana kulielewa hili.Waoaji hawajibu meseji kwa wakati, na kama ni ya suala la pesa ndio hawajibu kabisa. Hawajui kuita majina ya mahaba kama baby, honey, sweetie wala my. Hawataki dem mpenda saluni wa ‘kuchati magrupuni’ au wa stori za insta na kuvaa mawigi.