Unataka kupata habari za michezo..??Usihofu kabisa

Unataka kupata habari za michezo..??Usihofu kabisa

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Kama kichwa cha habari kinavojieleza kwa wale wapenda michezo hususani soka tunawaletea website mpya kwa Ajili ya habari za michezo zilizo jiri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Website hio itakayo tumia jina la
Www.kandanda24.com
Itakuwa na vitu mbali mbali mfano
Live match updates
Historia ya siku husika katika soka
Habari za ndani na nje ya mipaka
East African forum
Legend of the day
Na mengine mengi hivo bhas wadau kaeni mkao wa kula kwan kitu kinatua siku si nyingi toka leo.

Pia usisahau kufollow page yetu ya Instagram kama @kandanda24 ili kupata updates juu ya website hio na habari zaidi za michezo

Mwisho ntawashukuru sana wale wote watakao tuunga mkono katika website yetu changa na kutufollow Instagram.
 
Back
Top Bottom