Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya.
1) Jua thamani yako.
Kujitambua
2) Jifunze kuzuia hisia zako.
Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha
3) Husishobokee vitu vya watu.
Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo.
4) Jua wakumpenda yupi na wakumchukia yupi.
Sio kila unayempenda anastahili huo upendo au unaye mchukia anastahili chuki yako.
5) Ishi maisha ya uhalisia wako.
Kama unaingia facebook kwaku log out basi husijifanye kama unamiliki macho matatu, ishi uhalisia wako kama watembele wa matembele tu au nyama wa nyama tu.