Unataka Kupima kama huyo Mpenzi wako ni Wife Material? Mpeleke kwa Mama Ntilie, akisumbua mhudumu mara 3 kwa sababu zinazovumilika PIGA CHINI!

Ndgu mtoa mada..
- Hivi huyo dada hakua mjamzito kweli?
Maana wa hvo akiwa na ujauzito, ukiwa ndo mmewe usiku saa nane atakuagza embe bichi au sungwi
 
Back
Top Bottom