Unataka Kupunguza unene bila bila dawa,bila mazoezi?

Unataka Kupunguza unene fasta bila madhara,bila dawa,bila mazoezi?

Kuwa Mchepuko wangu nikutie stress,nikulize kila dakika unakonda baada ya siku mbili

una uzi wako humu unataka kunenepa....we majanga
 
Ha ha ha ha nimekuja kwa spidi nilijua nimepata Tiba ya kitambi hichi kumbe dah!
 
Unataka Kupunguza unene fasta bila madhara,bila dawa,bila mazoezi?

Kuwa Mchepuko wangu nikutie stress,nikulize kila dakika unakonda baada ya siku mbili

Ndugu yangu Sumu- ya-panya huyu mama ni mgonjwa kwahiyo haifai kumtumia kwenye post kama hii...kama ukiguswa na ukipenda muombe Moderator aiondoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…