Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Kipo kwenye uzi flani ivKipengele cha wenye nyama nyama mbona hujaweka peke yao?
Kama sijamuweka kwenye hayo makundi, Please jitafute.Mimi niliye naye hayupo kwenye kundi lolote katika hayo..mimi nahisi huyu sio wa dunia hiiπ€
Yeye anasifa zote ulizoziweka hapo na nyingine anazo ila hapo hazipo.Kama sijamuweka kwenye hayo makundi, Please jitafute.
Hao wengine wanajina Lao , Inshort wanajinsia kama ya wanawake ila.......... ππ
Hakuna asie na Mapungufu lakinYeye anasifa zote ulizoziweka hapo na nyingine anazo ila hapo hazipo.
ndo maana napata ukakasi yeye ni wa aina gani....labda ni neutral kuna binadamu wengine wanaumbwaga kipekee.
Mapungufu??? Mimi nikimpenda mwanamke huwa sina muda wakuanglia mapungufu yake kwasababu ninayo ya kwangu piaHakuna asie na Mapungufu lakin
Na. 1&3View attachment 2778645Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili.
1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi.....
2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote......
3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela......
4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe......
5. Anaependa "Tit for tat" , Hujamtafuta na yeye hakutafuti.........
6. Mwaminifu ila anamazoea na wanaume wengi........
Wewe Kama mwanaume ungechagua yupi kati ya hawa??π
Mm wa kwangu saivi ni na 1View attachment 2778645Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili.
1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi.....
2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote......
3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela......
4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe......
5. Anaependa "Tit for tat" , Hujamtafuta na yeye hakutafuti.........
6. Mwaminifu ila anamazoea na wanaume wengi........
Wewe Kama mwanaume ungechagua yupi kati ya hawa??[emoji116]
Uko vizuriMapungufu??? Mimi nikimpenda mwanamke huwa sina muda wakuanglia mapungufu yake kwasababu ninayo ya kwangu pia