Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Daah kuna zoezi niliangalia youtube linafanana kidogo na hilo la pili ila lenyewe unanyanyua magoti unaleta tumboni. Siku ya kwanza nimefanya siku ya pili sasa maumivu chini ya kitovu utasema kizazi kinachomoka. Bado najifikiria niendelee au niache. Ngoja nisubscribe hapa kwanza
 
Itakua ulizidisha idadi ya reps wakati wewe ni beginner kwenye hilo zoezi.
Hata hivyo usingeacha ungepunguza idadi ya ulzofanya jana yake, mpaka ungekaa sawa na gari lingewaka kimoja.
 
Itakua ulizidisha idadi ya reps wakati wewe ni beginner kwenye hilo zoezi.
Hata hivyo usingeacha ungepunguza idadi ya ulzofanya jana yake, mpaka ungekaa sawa na gari lingewaka kimoja.
Kweli bwana nilizidisha...sijaacha ila cha moto nakiona. Nikifanya mbili nalala kabisa chini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MAZOEZ YANAHITAJI MOYO WA CHUMA NA SALA...MIMI NILINENE MPAKA NIKITEMBEA KIFUA KINATIKISIKA NYAMA,,NIKAPIGA DIET PLAN YANGU MOJA KWA WIKI MBILI NIKAWA KAMA MODEL SASA NDO NATAKA NIINGIE GIM SEMA NATAKA MWALIM NIMWELEZE NAVOTAKA KUA MAANA MAFUTA YOTE NIMETOA
 
Kuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevu
 
Share diet plan yako hapa mkuu, utakua umefanya service kwa wanaJF wenzako.
 
Kuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevu
Sasa mkuu kama sina hela ya gym niendelee kubaki na kitambi changu? Hilo zoezi niliangalia youtube niliona wanafanya wanawake. Nishauri basi zoezi la kufanya
 
Kuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevu
Ni kweli kabisa mkuu.
Ila ujio wa steroids na extreme workouts zimesababisha mitandaoni tuone wadada wakiwa na firm six packs, hizi zinawafanya baadhi ya wanawake kutamani wanachokiona.
 
Diet gani hiyo ulipiga wiki mbili ukawa model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…